@_belindaPINDA01 Mimi nakubaliana na wewe kabisa, yani unakutana na jitu unaliambia hili jambo ni hivi na una uhakika ila kichwani sijui shida nini yan dah
Vijana wa kizazi chetu tunaposikia kuhusu Vita vya Maji Maji, mara nyingi tunacheka.
Tunawaona wazee wetu walivyokuwa wapumbavu, tukijiuliza.
"Inawezekanaje mtu aje na bunduki halafu wewe useme tu โMaji! Maji!โ ukitegemea risasi ibadilike kuwa maji?"
Inaonekana kama upuuzi, sivyo?
Lakini ukweli ni huu, haukuwa upuuzi hata kidogo.
Sikiliza kwa makiniโฆ
Historia inatufundisha kuwa waafrika walikuwa na njia zao za mapambano, nyingi zikiwa na asili ya kiroho.
Lakini Maji Maji haikuwa tu imani ya kishirikina, ilikuwa zaidi ya hapo.
Mipango yao ilikuwa imepangika, na kwa mara ya kwanza, Wajerumani walipigwa na kushindwa vibaya.
Risasi zao zilikuwa zinageuka na kuwa maji, na walishangaa sana.
Uwezo huu ulitokana na maji maalum yaliyobarikiwa na viongozi wa kimila wa Kiafrika, ambayo waliamini yalikuwa kinga dhidi ya risasi.
@MarekaMalili Kaka @MarekaMalili huwezi amin hii twit imenitoa machozi kwa ninachokiona hapa mtaani, maendeleo tutabaki kuyaona kwenye tv na hatutakaa tuendelee ujinga uliopo ni wa kiwango cha juu sana