@pascrates_ @__abdulazack @ikulumawasliano sawa kaka na Mungu ampe Maisha marefu kwaajili yetu watanzania raisi WA JAMHURI ya MUUNGANO WA TANZANIA @SuluhuSamia 🙏
@SuluhuSamia Mungu aendeleeee kukulinda na kukubariki kwaajili ya watanzania wote Mheshimiwa Raisi wetu kipenzi cha watanzania Kwa ujumla tunakupenda sanaa watanzania na kazi iendeleeee