@Fact_kabisa@CloudsMediaLive Ifahmike hivi: Undeshaji wa mjini | njia ya vumbi | wkt wa mvua | safari ndefu | kwenye barafu - ZOTE NI SKILLS TOFAUTI KABISA. Ila vile mtu anamiliki gari then hudhaninyeye tayari ni dereva wa all season - No, kifo kinakuita. Wkt mwingine watu wakubali kutofahamu baadhi ya vitu
@NnejiLawrence And guess what? They fake and easy to notice take an example of total figure won... It's like 60k with no small small figures included or some decimal figure. Totally lie.
@machinegunvaiko@iamdeidei_05 Yangu nimekaa nayo 13yrs tangu 2010 gari yangu ya kwanza. Kila nlipo pako namba B watu wakiishangaa haijaguswa body. Bahati mbaya niliiuza sababu ya shida za kimaisha. Ila nna mpango wa kununua Tena same same brand and model. Haina stress.
@chiefgodlove1 Ukituma akili ya kawaida tu life Hilo ana force kuaminika ana mkwamja. Ukweli hata wanaokuaifia wanakuchora. Wenye pesa tunawaona na wanaheshimika kwa ustaarabu kwa jamii inayowazunguka. Nguvu nyingi Ili uonekane waaapi...
@iamBEBERU 10. Del Soul - so good
9. Return the favor - Andre Martin
8. Me against the world - 2pac
7. Welcome to ATL - JD, P. Diddy
6. Big Poppa - Notorious
5. Family affair - Mary J
4. Jamboree - Naughty by Nature
3. Body in me - Nelly
2. King of the dancehall
1. Lose Control - Shaggy
@Lizzie36021 Nnachofahamu kwa niaba ya wanaume wenzangu woote. Demu wa kuoa Huwa tunamjua bila nguvu mingi. Hawa wauza k tushawazoea kupita nao maisha yaendelee.