Ikumbatie @ITVTANZANIA Jumapili hii Saa 3:40 Usiku Kupitia Kipindi cha #MjueZaidi utaiona Music Video yake ya Vituko Uswahilini na nyenginezo Alizofanya zikatamba mwanzoni mwa miaka ya 2000..
#sisitumeanza#Daima#Nostalgia
Unamkumbuka Rapper Suma G wa kundi la Hotpot Family?
Kupitia Kipindi cha Mjue Zaidi, Dolly Amezungumza nae vitu vingi kuanzia alipoanza Game ya Muziki wa Bongo Flava mpaka alipofikia sasa.
๐๐ฝ๐๐ฝ