Kwa Wanasimba wote, ASANTENI SANA ๐
Ligi Kuu tumemaliza, lakini bado tuna nafasi ya kukamilisha msimu wa 2025/26 tukiwa na ubingwa. Malengo, nguvu, dua na kila tunachoweza kufanya ni katika mchezo wa Jumamosi wa fainali ya Kombe la Shirikisho. Kila mmoja akae mguu sawa kwa mchezo huu mkubwa na muhimu kwetu. #NGUVUMOJA
Maisha ni Mafupi sana Usiishi kwa kutafuta thamani kwenye Mioyo ya Watu ambao wesha kusahau kabla hata hujafa wao wanaishi kama haupo kwenye Ulimwengu huu๐
Kila Mtu hufanya Makosa katika Maisha,Lakini hiyo haimaanishi kwamba wanapaswa kubeba
Mzigo wa Makosa hayo Milele
Wakati mwingine,Watu Wema hufanya Maamuzi mabaya
Hii haiwafanyi wao kuwa Watu Wabaya,Inamaanisha tu kwamba wao ni Binadamu
Hakuna Binadamu Mkamilifu,Ila Mungu pekee
Kuna kitu kinaitwa Divine Replacement.
Ni pale Mungu anapokiondoa kitu ulichoamini huwezi kuishi bila hicho.
Halafu anakupa kitu ambacho hukuwahi hata kufikiria kukiomba.
Good Morning.
Petro alimkana Yesu mara tatu hadharani na Paulo aliwatesa Wakristo. Hata hivyo Yesu aliwatumia kueneza Injili.
Mapungufu na makosa yetu hayawezi kufafanua sisi ni nani. Licha ya maisha yetu ya zamani, Mungu bado anaweza kututumia mradi tu tuwe tayari kushirikiana na neema yake.
"Muombe MUNGU akukutanishe na watu sahihi kwenye maisha yakoโข
Muombe MUNGU neema kwenye kila unachogusa na kila unachosema kikazae matundaโข
Muombe MUNGU akupe uwezo wa kuona Neema ulizonazo ili usiwe mtu wa kulaumuโข
Muombe MUNGU moyo wa shukrani hata kwenye magumuโขโ