Mimi sio MUNGU ila kwa aina ya mateso tunayopitia wanaume apa duniani 😭😭Nina uhakika wengi wetu wataingia mbinguni kwa huruma za mwenyezi MUNGU.🥰🥰 wanaume tunapitia magumu mengi saana chini ya jua ndo maana tunakufa haraka ✍️fikiria mke wa nyerere yupo✍️mke wa magufuri yupo