@SimonLumala@millardayo Sheria inasema unakula miaka ishirini kwa shambulio la aibu... huenda alichofanya mtuhumiwa ni kusugua uume wake kwenye sehemu za siri za huyo mtoto ila angemwingilia kabisa angekula miaka 30 ya kubaka
@mohamedidodo@AwesiAlly Swali alilouliza ni kwanini zipo gari zaidi ya moja kila mkoa zina namba aina moja ... je unaweza kusajili gari kumi kwa jina Muddi Imba na zote plate namba zifanane
@Ch49427Chali@alfred_josiah59@ayubu_madenge Yesu hakuwa Mungu na hakuna mahali alisema yeye ni Mungu na alikuwa akimwabudu Mungu....
Yaana Mungu ajaribiwe na shetani tena amuahidi atampa mali za duniani...
@EsirEid@ChopaWang@bonifacejoseph_ Hizi post nimeziona sana kwa wanawake wakituona kama tunajishusha kwao, mpeni muda na yeye ataposti zakwake masela waliomzamia DM
@kaji_sijo Acha uongo gharama ya hiyo arusi inakadiriwa kuwa dola za kimarekani milioni 600 mpaka bilioni 1 sasa hilo ndio deni la Tanzania miaka mitano?
@mchachu_ Unafungua biashara unakuwa tajiri unaumwa unapimwa unakutwa na sukari na presh au saratani unayimwa kula bata maana utakufa haraka .... kupanga ni kuchagua
@DausonFx @MSAFWA_OG So mbegu yenye uhai kutoka kwa mwanaume iliyopambana kufuata yai lisilo na uhai lililotulia bado mbegu mbili kutoka kwa mwanaume mmoja hazina undugu nali mbegu mbili kutoka kwa wanaume wawili tofauti zina undugu? Hebu nieleweshe hapo kisayansi au kidini pia nikuelewe