#FreeSifaBujune#Retweet.
Msanii Sifa Boniventure Bujune (25), Mkazi wa Isyesye alieimba wimbo huu amekamatwa na Polisi, anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” pia anatuhumiwa Kwa kuimba kwamba watawala wanatuona wananchi ni Nyani.
Mtuhumiwa alikamatwa Septemba 13, 2023 akiwa Isyesye-Mbeya na bado anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria
UVCCM ni kikundi cha WAPUMBAVU.
Leo Freeman Mbowe atakuwa na mkutano wake asubuhi hii viwanja vya S/M Didia, kata ya Didia, Jimbo la Solwa, Shinyanga Vijijini.
Maandalizi yanaendelea uwanjani, ng’ombe wa UVCCM ndani ya manjano wamekuja kuandamana uwanjani wakiwa na bendera za CCM
Wanakimbia na kuzunguka uwanja wanaimba jina la mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan wakisisitiza “piga kazi”. Naamini hawezi kuwa amewatuma.
Kwa kuwa sisi ni wazoefu wa hizi kazi, wabobezi kabisa, tutacheza huu mchezo kwa utilivu mkubwa, hatugusi marehemu. Lakini Mutungi aone.
Muhimu; Chongolo, waagize makatibu wako wa wilaya, wawatafutie hata mifugo hawa punda huko mikoani, wafanye ufugaji. Watakuja kudanja siku siyo zao.
MMM, Mtikila.
Leo Agosti 27, 2023 Mkutano wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe utakuwa Kata ya Didia, Jimbo la Solwa.
Mkutano huo unafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Didia. Wakati maandalizi yakiendelea katika uwanja huo, UVCCM wameanza kuleta vurugu kwa kuzunguka uwanja huo wakiwa na bendera za Chama Chao wakiimba nyimbo mbalimbali.
Mwaka 2011 wafuasi wa Chadema walipigwa bomu kwenye mkutano wa hadhara Arusha Bomu hilo lilipigwa wakati Mh. Freeman Mbowe akiwa jukwaani anahutubia, video hii baada ya tukio, mpaka leo watuhumiwa hawajawahi kukamatwa.
Jeshi la Polisi halikuwahi kuchunguza matukio haya ya kigaidi na kuwachukulia wahalifu husika hatua zozote za kisheria. Kama ilivyokuwa wakati wa utawala wa Kikwete, vitendo hivi vya kigaidi havitapunguza nguvu ya mapambano ya kidemokrasia nchini kwetu, & wala havitatunyamazisha.
Hatuwezi kupuuzia taarifa hizi. Matukio ya kigaidi ya aina hii yalikwishatokea miaka ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete. Mikutano ya hadhara ya CHADEMA ilishambuliwa kwa mabomu Nyololo wilayani Mufindi, na Soweto mjini Arusha, na watu wasio na hatia waliuawa na wengine kujeruhiwa.
Bunge, nawapa ANGALIZO! Mkipitisha muswada wa sheria ya Rasilimali, mtajiondolea MAMLAKA ya kuridhia mkataba wowote unaohusu masuala ya Bandari. Mamlaka hayo mnayahamishia kwa Baraza la Mawaziri. Wengi mmelalamika hamuelewi lugha ya sheria & mikataba. Msiseme sijawaambia!
Leo tumetaarifiwa kuwa #MariaSpaces inaweza kupigwa na dhoruba kali - hakikisheni mmewasha VPN na tujiandae kushushwa na kupandishwa
Ila #TutaelewanaTu
Tukutane saa 2 kama kawaida
🚨‼️ #Tanzania ‼️ URGENT ALERT
HUMAN RIGHTS VIOLATIONS‼️
This is a vehicle of armed rangers who are “hunting” the Maasai morani
They have rounded up many people and were left overnight at Karatu lockup but now the Maasai have been separated and their whereabouts unknown!
#TellSamia @SuluhuSamia to #StopMaasaiPersecution
Tunaendelea kukusanya ushahidi madhulmat msifikiri mko salama - kitakachofuata kwenu ni kulia na kusaga meno maana MTAWAJIBISHWA! Acheni dhulma!
Shangazi, leo naomba nikupe 💐 yako. Umekuwa nguzo muhimu kwenye harakati. Wapo ulioanza nao, lakini leo wamepotea na baadhi wamesaliti movement. Umepitia vipindi vyote; jua, mvua, upepo na gharika. Bado umesimama imara. Halafu una roho ya upendo. Mungu azidi kukupa afya njema.
Watu wa Mbeya ✊🏽 mna roho ya kipekee
Tuwape maua yao wapambanaji wa Mbeya 🌹🌺💐🌼
Mmeonyesha UMOJA na MSHIKAMANO , hamjatetereka!
Na kama @mdudechadematz alivyosema “Tunaendelea tulipoishia”👊🏽
Heko @Mwabuk2Boniface@AbdulkarimJum10@GwamakaMbughi na wengine WENGI
(Tag them👇🏾)
Nimezungunza na Mpaluka Said Mdude Nyagali (sumu ya nyigu); amehojiwa kwa tuhuma za uhaini (kauli zake clubhouse) lakini anashangaa wanapewa dhamana. Mdude amekataa kutoa kitambulisho cha NIDA, ametaka apelekwe mahakamani siyo kuachiwa huru. RCO anasisitiza waachiwe. Anawasalimia