Leo TANZANIA Tumeamka na taarifa za UTEKAJI kutoka chombo bora cha utangazaji wa habari DUNIANI (BBC).
Mimi Muhanga wa UTEKAJI unaoendelea kwenye nchi nilifikiwa na BBC na kufanya mahojiano ambayo SIKUFICHA KITU. Nilieleza Ukweli wote.
Taarifa ya UN inaeleza kumekuwa na matukio ya UTEKAJI Tanzania ya watu zaidi 200 tangu mwaka 2020-2024. Matukio yote wahanga hayupo aliefanikiwa kurudi hai, isipokuwa Mimi.
Sikufanikiwa kurudi HAI kwa ujanja wangu au kwa ujasiri wangu, ni kusudi la MUNGU, aliona naweza kulisemea hili la UTEKAJI na dunia ikasikia UHALISIA wa mambo ambayo yanafichwa na yanaendelea ndani ya taifa letu.
MUNGU aendelee kusimama na ndugu zetu waliopotezwa kwa UTEKAJI, huko walipo mimi ndugu yao nitasimama upande wao mpaka siku ya mwisho ambayo MUNGU amesema inatosha.
ASANTE @bbcswahili@bbcworldservice kwa hii nafasi.๐๐ฟ
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Mtu anaku text Green App namba ngeni ina DP ya picha ya Mama afu anakwambia ni Add kwenye Group la kubeti mimi na Betting wapi na wapi mkuu?
Mikeka yote Imehifadhiwa