Serikali inatambua mchango wa Tanganyika law society (TLS) kwa kushiriki kutetea uwajibikaji na uwazi kwa umma, licha ya kua TLS ni kinyume cha umoja na mshikamano wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.Hivyo ili kupata uhalali wa kikatiba lazima kuhusisha pande zote za muungano.π
Tunaongeza imani kwa wajinga tukiendelea kuwaaminisha ukatili dhidi ya ulemavu wa ngozi ni sababu ya uchaguzi..kuna sababu nyingi achiliambali imani zinazohusishwa na uchaguzi na haujafika bado..
baada ya ripoti ya TAKUKURU.
Pia kiwanda cha kuzalisha mafuta kilifungwa sababu wanahitaji kuuza bidhaa zao moja kwa moja sokoni na wanalazimishwa kupitia wakala, wajadiliane kwa kufuata utaratibu wafikie muafaka kuliko kusimamisha uzalishaji .
Tunashukuru kwamba tunahitaji kuona serikali inafuata utaratibu wa kutoa vibali vya manunuzi kwa usahihi ili kuepusha rushwa au uhujumu uchumi.TAKUKURU wachunguze kibali cha kuingiza sukari kama kilikua na nia tofauti na kupunguza mfumuko wa bei, kisha ndio tutaweza kutoa tamko..
Tanzania to host the 20th Anniversary of the Peace and Security Council of the @_AfricanUnion scheduled to take place on the 25th May, 2024 at JNICC in Dar es Salaam. The event expected to host more than 700 guests from African countries.
Kwa kuzingatia maoni ya wadau katika sekta ya elimu na ajira, ni vyema taasisi za elimu kukaribisha taasisi zinazotoa elimu ya ziada au ajira kuchangia kutoa elimu hasa vipindi vya semina au ratiba nyingine ili wahitimu kukidhi soko la ajira na mahitaji ya kazi kwa wakati.
Kwa kuendeleza uchumi jumuishi ,tunatoa mikopo ya halmashauri kwa vijana.Pia tunahitaji TASAF kuwawezesha wananchi kuinua vipato kwa kuunda vikundi vya ujasiriamali kuongeza thamani ya malighafi kwa kutumia viwanda vidogo ili kuongeza wigo wa uzalishaji.ππ
Kwa mustakadhi wa umoja na mshikamano wetu, nivema wasasiasa kutojishughulisha na siasa za ukanda au ukabila hasa pale tunapohisi tuna uungwaji mkono kwa udanganyifu au kwa mitazamo yetu wenyewe iliyo kinyume na katiba.Tunahitaji umakini zaidi.π
Tunafurahia muungano wetu kwa miaka 60 sasa, ni maono ya waasisi wa wetu na viongozi waliotangulia kuuenzi na kuendeleza mafanikio katika maendeleo, undugu, usalama na uwajibikaji wa jamii yetu.
#MunguibarikiTanzania
"Tumeshikamana na Tumeimarika, kwa
Maendeleo ya Taifa Letu."
βIt is the responsibility of these young people, they must be looking at themselves as protectors of these gains we have made along the way.β President Kagame
We need our students to learn practical as far as content mean.Apparatus,knowledge and skills must define what application is, for students to achieve actuals reality of life circumstances.Including college(VETA) should have a laboratory which satisfy the needed update technology
Hii ni Habari njema kwa WATANZANIAπΉπΏ
Kwa kuwekeza kwa urahisi, Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Kituo cha Uwekezaji Nchini inakupa TAARIFA hii njema ya vitutio vya KIKODI!
Angalia video hii unufaike na fursa za kuwekeza katika KILIMO NA UFUGAJIπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
#2024nauwekezaji
Wakurugenzi wa halmashauri na manispaa waratibu miundombinu ya masoko ,njia za kupitisha maji ya mvua, vyoo na usafi wa soko bila kusahau kukusanya ushuru ipasavyo viwe kipaumbele.
Office ya C.A.G inatakiwa kuwa na mfumo wa data utaunganisha mifumo ya kikodi na miradi ya maendeleo inayotekelezwa pia TAKUKURU watapata assess. Kila miradi wasimamizi wata-update taaarifa za utekelezaji kila hatua watakayofikia bila kubadilisha taaarifa na muda wa utekelezaji.
Ili kuongeza ufanisi na kupunguza ubadhilifu wa mali ya umma au mapato tutumie mifumo dhabiti ya tehama kwanzia halmashauri. Hii itaongeza urahisi wa kudhibiti na kukusanya taaarifa za ukaguzi.