Anaitwa Alex Mendrad Mwalongo. ametoweka tangu tarehe 29/06/2024,
Alikuwa anatoka kimara tumboni kuelekea Tegeta.
Kwa yeyote atakae mwona, mawasiliano +255753115470.
REPOST IFIKE MBALI....🙏
Huyu kijana ni mwana X mwenzetu anaitwa @Piusmrema1 tangu issue ya @Eng_Matarra imeanza amejitoa sana huko kwa ground ameacha shughuli zake tangu jumapili anafatilia mchakato wa Matarra , na leo pia ataendelea, akishirikiana na mawakili, watu wema bado wapo, Mungu amlinde.
AMEPOTEA AMEPOTEA. AMEPOTEA
Anaitwa ABDALA MAKUKA ana miaka 31 UR ni FT 5.8 mwenyeji wa Iringa tangu apotee ana siku ya tatu Leo hajulikani alipo msaada familia inalia kumtafuta kijana wao.
NAOMBA RT YAKO KIJANA APATIKANE
JAMHURI YA watu wa TWITA mmejionea wenyewe kuwa WASANII na watu MASHUHURI wengi huwa HAWAPO pamoja na sisi kweny SHIDA zetu kubwa zaidi tukiwaomba MSAADA hata wa RT wanatuona kama VIKATUNI.
Ila kweny SHIDA zao na KAZI zao SISI ndo tunakuwa MSTARI wa MBELE.
TUACHE SHOBO KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE.
RT ujumbe ufike kule BACK BENCHA.🤝
Ukuta huu nautunuku kwa @ExMayorUbungo aka SAVIMBI
The guy is too daring to encounter one-on-one with @tanpol whenever he thinks that citizens' rights are in danger of breach at the policemen's custodianship.
A real Hoof-man and a cornerstone of the battalion of hand-to-mouth
Ukuta huu nautunuku kwa @IAMartin_
The monk merits a medal for being a voice of the least privileged citizens as far as their health is concerned.
The true opposite version of the famous Oddo
A critic who never minces words