Hii tume nikibaatika kukutana nayo nitawaeleza jinsi familia tulivyo ishi na maiti ya mpwa wangu sebulen kwa siku 4 bila hata jirani kujua kwa kuhofia kuuwawa familia nzima na baadae tukaweza kwenda Moshi kuzika tar Nov 5
#Habari_Njema.
Katibu Mkuu wa @BawachaTaifa Mhe. @PamelaMaassay pamoja na Viongozi na Wanachama 50 ambao walikuwa wamekamatwa leo Musoma mjini wakati wanatoka kwenye misa Kanisani, wameachiwa kwa dhama.
Giza halijawahi kushinda NURU.
🚨 Vini Jr: “I feel like I am in the best shape of my life”.
“I'm working hard every day with the staff and my teammates to reach this level”.
“I feel confident in front of goal and strong enough to help the team in both defense and attack”.
#BreakingNews
Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Mhe Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama, wamezuiwa na Jeshi la Polisi kuingia Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa wanaoruhusiwa kuingia mahakamani ni wanahusika na shauri hilo ambao Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika, Bodi ya Wadhamani ya Chama na Mhe. @TunduALissu.
HABARI MBAYA KUTOKA MKOA WA IRINGA
Nimepokea taarifa kwamba wale Vijana wetu wa BAVICHA waliopotea Iringa baada ya kwenda kuripoti Central Police Iringa Mjini.
Wapo hai na sasa wanashikiliwa kwenye kambi ya CCM ambayo iko Ihemi Mkoani Iringa, nimejulishwa kwamba huko waliko wanateswa sana.
Vijana hao ambao ni Ibrahim Myovella - M/kiti Bavicha Mkoa wa Iringa, Suleiman Fyumagwa, Ally Kalolo na Asajile
Kabla hawajapelekwa kwenye Kambi ya CCM Ihemi, walikuwa Kituo cha Polisi Central Iringa mjini badae ofisa wa Polisi ajulikanae kwa majina ya Mussa Salumu Mbungu aliwabeba kwenye gari na kuwahamishia kituo cha Polisi Ifunda na badae akawatoa Ifunda akawapeleka kwenye kambi ya CCM huko Ihemi- Iringa.
Huyo Mussa Mbungu ndo anaongoza kikosi cha kuwapiga na kuwapa mateso makali Vijana wetu wa BAVICHA.
Hii hapa ndo namba ya Mussa Mbungu 0754212627.
Naomba kama kuna mtu anaweza kutusaidia kupata picha ya Mussa Mbungu na familia yake naomba nitumie DM, tuziweke public ili hata mkimuona huko mtaani au kuona familia yake basi mjue ndo mtekaji mwenyewe.
NB. Huyu kwenye picha ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Iringa Ibrahim Myovella.
. @realDonaldTrump After Iran, please turn your attention to Tanzania.
The CCM regime is a carbon copy of the brutal Islamic regime in Iran. If they had a capable army, they would gladly join the war and stand beside Iran. The only reason they have not is because they know their limits. Their weapons are only strong enough to kill unarmed citizens, but not strong enough to play with the big boys. They are cowards.
Just three months ago, Samia Suluhu and the CCM regime murdered more than 10,000 Tanzanians who were protesting. They simply opened fire and shot people in the streets. Now they are openly showing the world which side they stand with.
This is who CCM truly is , a regime of cold-blooded killers.
@realDonaldTrump, Samia Suluhu is the Khamenei of East Africa. We Tanzanians will keep fighting for our freedom on our own if we must. But if there is any way you can help us win this fight, we desperately need it. Without help, this regime will continue shooting its own people just to cling to power.
@SFRCdems@SenateForeign@StateDept@HouseForeignGOP@HouseForeign@Europarl_EN
#TanzaniaMassacre
Huko @UmojaWaMataifa kama ni moto wamewashiwa ndo maana Possi analialia tu
Umoja wa Ulaya - EU wamelaani pia mauaji ya Oktoba, utekaji na uwindaji wa wapinzani na wanaharakati! Mahodari wanazidi kuvuma 🙄
“The EU is concerned with the widespread human right violations in Tanzania in the context of the general elections, including allegations of excessive use of force, of extrajudicial killings, enforced disappearances, and mass arbitrary detentions targeting protesters, opposition figures, and civil society across the country..”
#SamiaMustGo
https://t.co/hDkqWs25Cs
🚨 OFFICIAL: Rodrygo will be out until the end of 2026, up to maximum 10 months — Real Madrid confirm.
Rodrygo has been diagnosed with a rupture of the anterior cruciate ligament and a rupture of the lateral meniscus of his right leg.
🚨 Diego Simeone: “I told Hansi Flick that Barcelona play brilliantly, they are a top team”.
“I also told him that hopefully we meet in the Champions League quarter-finals”. 👀
🚨🚨 𝗝𝗨𝗦𝗧 𝗜𝗡: Kylian Mbappé is reportedly unhappy with the pressure coming from Real Madrid.
The club are said to want him available for the second leg against Manchester City, even if he is not fully fit.
However, Mbappé is reluctant to take any risks, especially with the 2026 World Cup less than 100 days away, and wants to prioritise his long-term fitness.
(@FootyRush_)
“Spain wamekataa tusitumie kambi zao za Jeshi lakini sawa tu hatuzihitaji, ila kama tungezihitaji kweli tungerusha ndege zetu tukazitumia na hakuna ambaye angeweza kutuambia tusizitumie. Spain hawana chochote tunachokihitaji, zaidi ya watu wao. Pia hawana Uongozi bora” Rais Trump
Nitakwenda Arusha KUMTETEA Mwandishi wa Habari, ALPHONCE KUSAGA anayetuhumiwa “KUCHAPISHA TAARIFA ZA UONGO”. Ni MUHIMU ifahamike kwamba; JESHI LA POLISI HALIMILIKI UKWELI. Kimsingi, UKWELI UNAJITEGEMEA.
“TUME HURU YA UCHUNGUZI” ni kupotezeana muda tuu.
Dunia inataka uchunguzi huru wa kimataifa sio huo unaoendelea. Hakuna mtu atasoma na kuwasikiliza kwenye ripoti ya TUME YENU YA KIBAKA CHANDE.
Mlizima mtandao mkaanza kuuwa watanzania kwa MAELFU mkidai ndio nguvu sahihi ya kupambana na watu wanaodai HAKI ZAO.
Mkahangaika kuzika watanzania kwa maelfu kuficha ushahidi mkiamini dunia haitajua.
Mliamini tupo miaka ya 60 kwamba mtauwa na kuficha miili ya watanzania kwa maelfu na dunia haitajua.
Mmetia vilema watu, mmewapa uyatima watoto wadogo na mnafikiri dunia itakaa kimya.
Haya yote MTALIPA WAKOLONI WEUSI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
🚨🚨JUST IN: Kylian Mbappé is angry about the pressure he is getting from Real Madrid. They want him to be available for the second match against Manchester City even if he isn’t 100% fit. Mbappé doesn’t want to take any risks with the 2026 World Cup, which starts in less than 100 days.
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitikiti yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo.
"Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya kumuona hukuishia hapo ukasafiri Mpaka Ubelgiji kwenda kumuona ila sasa LISSU yupo Gerezani Ukonga hujawahi kumtembelea wala Mahakamani hujawahi kwenda, Wenda huna nauli ila hata "kutuiti" tu na kusema KESI ya Lissu ni KESI ya MCHONGO hujawahi kama tatizo bando na nauli tushirikishe JAMHURI tutachanga, au hauchezi mechi za ndani?, kama na wewe ni shaidi wa kiboksi tujue.
NB: Mjumbe hauawi Tundu Lissu anakaribia kufikisha mwaka Gerezani kwa KESI ya uongo aliyopewa na SAMUYA aliekupora ushindi wa Kigoma na KUUA ndugu zetu.
#FreeTundulisu
Nishawahi kusema kupitia huu uwanja kuna watu wanajenga maapartment huko MASAKI hamnielewi.
Huu uwanja ulitakiwa utolewe viti vyote vifungwe viti vya kisasa vya kufunguka na kufunga-chaajabu GIRISHONI na vibaka wenzie wameenda CHINA wamepewa vya msaada (TAKATAKA ZILE ZILE ZILIZOKUWEPO) wamekuja kutupachikia wanasema vinaonyesha ishara ya "Bendera ya taifa".
Si mliona YARD ya Mwana FA gari zake zinakula KIPUPWE kwenye AC ndio kazi ya pesa za huu uwanja.
Si mnaona wakina GIRISHONI hao sio wenzenu huko masaki na kijijini kwao wanajenga MAGHOROFA kupitia huu uwanja.
Kiufupi huu ni mradi wa WIZARA YA MICHEZO. Hapo ndio piga ni kupige za wakongwe zinafanyika.
Taifa ni kama la MISUKULE halina mwenyewe.
Ndugu jamaa na marafiki.
Tunaomba msaada wenu kwa ndugu yetu Nicodemus Julius Loyore ambaye alipitia janga la kutekwa na kuumizwa sana kwa kupigwa. kutokana na tukio hilo alipoteza kazi na kwa sasa hana chanzo chochote cha kipato.
Pia anahitaji kusafiri mara kwa mara kutoka arusha kwenda dar es salaam kuripoti polisi, jambo linalohitaji gharama za usafiri na matumizi mengine.
Tunaomba support yako kwa hali na mali ili kumsaidia katika kipindi hiki kigumu. mchango wowote, hata mdogo, utakuwa msaada mkubwa sana.
Namba: 0791262588 Voda
Jina: Nicodemus Julius Loyore