UJUMBE wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika.
βοΈ Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na upande wowote (neutral) au fainali mbili kwenye Uwanja wa neutral.
Ni aibu kwa bara letu kuona unyonge wa mchezo bora pendwa wa fainali ya soka duniani (ukitazamwa na mamilioni ya watu duniani) kushuhudia udhalilishaji wa timu ya ugenini kukumbana na mashambulizi ya kuvizia kwa fataki nyakati za usiku wakiwa wamepumzika katika uwanja wao wakiwa hotelini.
Kana kwamba haitoshi, wakati wa mchezo tulishuhudia (vijana waokota mipira (ball boys) wakirusha mipira mingi kwa wakati mmoja ili kupoteza muda kwa ajili ya timu za nyumbani, zaidi ya fataki mbili nzito zilipigwa kiasi cha kupelekea mechi kusimamishwa (mara tatu) ili kuruhusu moshi huo kutoweka, yote haya yalifanywa mbele ya rais wa CAF na ulimwengu mzima wa mashabiki wa soka wakitazama.
Hii sio mara ya kwanza barani Afrika Basi aibu kwenu CAF & FIFA kwa kujua haya yote yatatokea na bila kufanya lolote ila kukaa tu na kutazama onyesho la kupendeza la uharamu na kumtawaza mpiga picha na kombe la ubingwa akiota na kufikiria kuwa hii ingekoma?
Natumai FIFA ingefanya soka kuwa mchezo mzuri tena.
#KitengeSports
@ahmed__ally Ahmed, sitaki kusema wewe ni MJINGA. HAPANA.
Bingwa UEFA EUROPA League 2022/23. Katika ligi ya La Liga yupo nafasi ya 11.
Simba mlipocheza na Orlando Pirates hadi kuwasha moto uwanjani walikuwa nafasi ya 6 kwenye PSL
Najaribu kukumbusha, inaonekana una tatizo la afya ya akili.
@joblessforsure Hqjqjajajajajaajajaja
ππ fifa wanasema kama una shida na club usikae nje ya uwanja kwa zaid ya miezi 4, yeye kama fei kakaa nje miezi mi3 toka december had sasa ni miezi 3ππππ
Comments ziwe fupi fupi