BREAKING: MSANII IDRIS SULTAN AKAMATWA NA POLISI
> Anashikiliwa Kituo cha Oysterbay na ni baada ya kuwasili hapo kufuatia wito wa Polisi
> Mwanasheria wake amesema anahojiwa kwa “Makosa ya Mtandao”
> Imedaiwa atahamishiwa Makao Makuu ya Polisi
Soma https://t.co/akdqaxoDgv