BREAKING NEWS
Sehemu kubwa ya Internet duniani iko chini [ down ], websites nyingi ziko down zikiwemo UK government website - https://t.co/7ay9svxJWh, Financial Times, the Guardian, New York Times, Amazon, Reddit na nyingine. zinaonyesha "Error 503 Service Unavailable" 👇
Jamani @davidmcallister kavaa sura ya kazi 🙆🏽♀️ hataki majibu mepesi kamshauri mhusika bora aombe masaa 48 ajipangee
Alafu MATAGA mnasema eti “effects of Corona” msikilizieni vizuri Mkiti huyu! Haina logic! Kawaeleza short n clear! Mjipange!
Leo mtalala na viatu! Mnatuzuga sana!
Waumini wa Jumba la Ufalme wa Mashahidi wa Yehova waishukuru JKCI kwa kumfanyia upasuaji mkubwa wa moyo na kumbadilisha ‘aortic valve’ ambayo inatoa damu kutoka kwenye moyo kwenda mwilini na kumuwekea valvu nyingine ya chuma muumini wa dhehebu hilo bila ya kumuongezea damu
Mkurugenzi Mtendaji MZRH Dkt. Godlove Mbwanji amewaongoza wahitimu 25 waliofuzu kutunikiwa digrii ya udaktari wa binadamu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kula kiapo cha uwanifu na utii wa miiko ya udaktari kabla ya kupewa madaraka haki na mashari ya kazi muhimu ya udaktari.
VIJANA NI MUHIMU KUPIMA HALI YA VINASABA VYA SIKOSELI KABLA YA KUOA AU KUANZISHA MAHUSIANO ILI KUEPUKA KUZAA WATOTO WENYE UGONJWA WA SIKOSELI.
________
Leo ni Siku ya Siko Seli Duniani. Tanzania ni nchi ya 4 duniani… https://t.co/RKH4H2jTXR
Makampuni ya simu hasa @VodacomTanzania kuongeza gharama za vifurushi Internet kipindi hiki cha COVID19 wakijua fika kuna wanafunzi wengi na wafanyakazi wana uhitaji wa Internet.
Ni uchu na unyonyaji wakati wa shida🚮🚮🚮
Eat plenty of fibre!
Foods that are high in fibre keep your digestive system healthy and make you feel fuller for longer.
Remember – frozen fruit and vegetables contain a similar amount of nutrients to fresh produce but have a longer shelf-life.
Stay #HealthyAtHome
Strong repudiation by the @WHO Director General @DrTedros to the French scientists who suggested to use #Africans as guinea pigs for #Covid_19 vaccine research
“Africa cannot & will not be the testing ground for any vaccine. The hungover from such colonial mentality has to stop”