@AbuuJuda@TMnyama4_ Bro vp mi ninawarts km uyo jamaa nimeandika podophyllin cjawai tumia ata io scarboma cjawai ipi inaweza kuwa nzuri kwa experience yako
@prossoff First of all wanawake wa kinyakyusa uwa Wana kiburi cha uzima na ndo mana wengi hawaolewagi cha kufanya apo kwa mshikaji ashirikishe familia ya mwanamke wajue nini kinaendelea kabla ya kufanya maamuzi mengine nasema ivo sabb inatusaidia kurelease stress when we share our thought