Great thinker || The hybrid boy || Game changer ||Trust in God|| Motivated by @davidgoggins
Dear me.. ✍️
I'll make you proud one day
#LIFE LOVE DEATH..
Kuna kitu hakipo sawa kwa sisi wanaume wa sasa.
Wengi tumekuwa tukiona wanawake ndio wanaolia katika harusi na kuvishana pete.
Kadri miaka inavyoenda mambo yanabadilika.
Wanaume ndio wanaolia kwa sasa.
Wanaume tuzingatie kuna sehemu tunafeli.
Case study ipo wazi.
Wanaume mnaojitambua mnafaa kujua kwamba.
Hakuna tofauti kati ya manzi ambae yupo 26+
Na manzi ambae ni Single mother.
Hawa wote wametumika ipaswavyo tofauti ni kwamba mmoja aliamua kutunza mimba na kuzaa.
Mmoja amezika viumbe wengi sana.
Kwa pika pakua hizi.
Tusiukwepe uhalisia, ni nadra kukuta manzi kaanza sex toka ana 18 mpaka anafika 26 hajawahi kabisa kushika mimba na hizi pika pakua za sasa.
Kwenye 10 labda watatu. (Rule of thumb)
Huku mkiwa makini na single mother.
Muwe na akili ya kutoingia kwenye retirement plans za wazee.
Mnatoa wapi nguvu ya kulipia wanawake ambao hamjawaoa kodi na kuwapa hela ya matumizi kila mwezi?
Halafu akiwa single mother mnalipa hadi ada za watoto
Y'all are better men than me, mimi kwenye huo upuuuzi mnitoe wallah
Tumia akili usiwe desperate sana na koumer.
Some of you mnajitoa kwa yote ili kupata vitu fulani kwa hao wanawake na si tofauti na uchi wake.
Mwanamke anapenda kuwa na mwanaume ambae ni bora zaidi yake na hiyo ipo toka miaka ya zamani.
Mwanamke wako akiwa bora zaidi yako Bro lazima atatafuta changamoto kwingine.
Wanapenda mwanaume anaeweza kuwaongoza na kuwa na kauli, sasa utamuongoza mtu ni bora zaidi yako?
Kanisa linapaswa kuwa mahali pa rehema, msamaha, na uponyaji. Linapaswa kufungua milango yake kwa walioumizwa, waliotengwa, na waliopotoka zamani, na kuwasaidia wapone na kukua kiroho.
Kwenye Safari ya Maisha; Kufanikiwa au Kushindwa ni Jambo la Kiufahamu Zaidi Kuliko la Kiimani.
Ulimwengu wa Rohoni, Unapambanuliwa katika Nafsi Kwanza Ndipo Unathibitika katika Mwili. Kama Mtu Hatumii Akili, Imani Yake ni Bure.
Katika kila familia, kuna roho ya Mungu au ya miungu inayomiliki na kutawala kwa njia ya damu na tabia. Mambo yote yanayotokea na yatakayotokea lipo agano la kiroho liliwekwa ili kuPush kwa njia ya matamko, sadaka na utiisho. Vivyo hivyo inawezekana kwa njia ya BWANA YESU Kristo.
Omba kwa akili na katika roho. Kuna kiwango fulani cha maombi ya kufunga, mfululizo na faragha mbele za Mungu kama ukifanya, utafunguliwa na milango mikubwa itafunguka mbele yako. Funga inakupa kumsikia Mungu kwa utulivu na inajenga tabia mpya za faida. Shida unaBip bip tu!
Kama umeamua kumfuata YESU Kristo kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako, kuna gharama ya kutengwa na kujitenga lazima uilipe. Hutafanikiwa kama utachanganya mambo au hutaenda kitambo na Mungu kwa uaminifu. Lazima umjue Mungu na Yeye Akujue ndipo Atakutambulisha - Usijitambulishe!
Katika maisha yako usisahau kuombea aina hizi 3 za watu ili uwe nao:
1) WATAKAOKUTAMBULISHA: Hawa wanatumia jina/umaarufu/Nafasi zao kukutambulisha ili UKUBALIKE. HESHIMA na JINA lao ndio linakufanya ukubalike kwa VIWANGO ambavyo ungechukua muda kukubalika.
2) WANAOKUUNGANISHA: Hawa wana NGUVU za kukutanisha na watu ambao watakupa msaada MKUBWA/HARAKA ili kuharakisha safari yako.Ungewatafuta wewe USINGEKUTANA nao/ingechukua MUDA MREFU KUWAPATA.
3) WANAOKUPA RASILIMALI: Mungu anaweka ndani yao MOYO wa kukusaidia KIFEDHA, MALI, MTAJI au VIFAA unavyohitaji. Wanakupa na HAWAKUTESI wala KUKUSIMANGA.
Usiache Kuomba🙏
@Kataraia_Amani Maombi ya kikuhani ni maombi ya kunyenyekea sana mbele za Mungu ili kupata mamlaka ya kumiliki mambo. Maombi ya kifalme ni maombi ya kutumia mamlaka ili kutiisha kiutawala. Moja inakuweka magotini mbele za Mungu na nyingine inakuweka juu ya changamoto zako.
Maombi ya kuleta matokeo sio lawama, kupayuka au kuweka maneno mengi sana au kulia lia. Kwa sehemu kubwa, wengi wanaokwenda mbele za Mungu, hawajui namna sahihi ya kuomba kikuhani na kifalme - hizi ni aina mbili tofauti kabisa. Lazima kuomba kwa roho na kwa akili. Ufahamu sahihi!
Wakati unaingia kwenye maombi mbele za Mungu na ukisikia malango yamefunguka, hakikisha unajenga hoja nzito. Mwambie Mungu hivi, "kama kuna watu wanafanikishwa kwa nguvu za giza, nifanikishe na mimi nikakutambulishe ili watu wakujue". Mfanye Mungu aone Atapata nini Akikufanikisha
Mama zetu walianza kutubeba tumboni, Kisha mgongoni..
Na sasa kokote waendapo wametubeba mioyoni mwao..
Tunapambana ili siku moja tuwaondolee simanzi kwenye Dunia yenye mengi..
Mungu tusaidie🤲🙏