BRO TO BRO
Soma Hii kabla Hujaoa!
Jukumu la Kupenda acha libaki kwa mwanamke wewe unavhohitaji kwake ni HESHIMA.
•Hakuheshimu USIOE
•HAKUSIKILIZI USIOE
•Mwanamke mjuaji USIOE
Simply mwanamke asietii kauli ya mwanamke wake,she's someone plaything.
Huyu mwamba aliachiwa mtoto na mke wake akaenda kuolewa sehemu nyingne jamaa hakutaka vita akalea ona binti kakua na unaambiwa dogo shule ndio alie chukua vyeti vya masomo yote wanaume tukiamua kulea hatubahatishi 😢😢🙌🙌