@MariaSTsehai@fatma_karume@allysalehznz@ThatBoyKhalifax Hawajui kuwa ndege ni mali za wananchi . Hivyo raia tunafatilia mali zetu , sasa ndege kusukumwa Na raia jamani , hata kama MBOVU kwani magari spesheli yakusukuma hayapo???.
Kweli nikufuria
@kigogo2014 @Leyenda_vivien @MariaSTsehai@Semkae@MarekaMalili@BongosGod Ahahahah, mbavu sina . Dah , aliacha taa ON sio?
Ahahaha, yaani inaonekana hata airport kuna upungufu wa magari yakusukuma ndege. Maana raia kusukuma ndege kama vile FIAT TRAK nayo si sawa
@JamiiForums Mkuru alisema kitambo sana. Kuwa MTU akitoka Ccm Na kurudi tena nikama ng'omba alikuwa Na mkia ukakatwa. Akiingia kwenye zizi hata wenzake wanajua mkia huna .
Sasa Mhe Masha , ujui kuwa unaonekana huna mkia?. Ndiyo maana huoni wanakutetea
@KKagasheki Baba ndani ya nyumba ikiwa kila kosa analofanya mtoto suruhu unaona nikipigo, kaa ujue, utahitwa majina yoote maovu Na mabaya duniani. Serikali ijilekebishe ifuate Sheria Na maridhiano. Kenya wanasonga mbele sasa. Siasa chuki kwisha
@KKagasheki Tusidharau hayo maazimio ya EU, mzarau mwiba....
Mzee umeshauri vyema, Mimi Na support. Na nimesikia vyombo vya mbali vimenukuu ushauri wako , maana wewe ni kioo pia. Sasa je, wanasikia?.
@JamiiForums Bihashara ni Ushindani . Jueni jinsi yakuwapa chochote mawakala au fungueni ofisi zakutosha za ATCL ili huduma iwe raisi. Tumieni Na mitandao ya simu kufikisha huduma kwa raia kirahis
@TheoGiyan Twafaaaa. Nilishukuru kauli ya mhe, Spika alisema kuna utafiti ulifanyika miaka hiyo ya nyuma. Kukagundulika kuna Makinikia kwenye huo mto. Lakini taarifa zikawekwa. Akashauri utafiti urudie tena uenda kuna kitu pale.