Pumzika kwa Amani mwamba
Kazi ya Mungu haina makosa
Umeacha alama kwa taifa lako
Legend of our days.
Tuseme nini basi
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.
@IAMartin_@MsigwaGerson Vyovyote vile iwavyo mh Gambo @mrishogambo82 aisaidie serikali kueleza kwa uwazi na ushahidi haya mambo, hizi ni tuhuma kubwa sana kwa serikali, ni doa kwa chama chetu tunahitaji mb aseme kwake na cctv na amesema anawajua basi asaidie vyombo.
@HKigwangalla Lakini mh si ulikuwa mchakato wa ujenzi wa reli hii na Manunuzi ya mabehewa ulianza enzi za awamu ya tano wewe ukiwa sehemu ya baraza la mawaziri ingekuwa busara badala ya kulalamika ungeujulisha umma mlichojadili na kupitisha na kinachofanyika kwa sasa tuone tofauti
Hata kama mabehewa ni mapya, na hata kama taratibu za manunuzi zimefuatwa, ukweli utabaki pale pale kuwa, bei ya hizi Sobibor ni kubwa mno! Bei ya wastani ya b 2.2 TZS ni kubwa mno ukilinganisha na wengine wenye treni kama yetu. Kufuatwa kwa taratibu hakuleti uhalali wa bei.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Ni ukweli usiopingika kwamba hakuna mwafaka bila masungumzo na hakuna masungumzo bila kukutana
@zittokabwe ameonyesha uongozi na ukomavu ktk hili la mbowe
uongoz ni kuonyesha njia zitto ameonyesha njia
Nakupongeza sana bro kwa busara
Mchumi mzr mtu neutral lkn mwenye msimamo thabiti,mcha Mungu anayesikiliza watu ,mh Rais kafanya vzr kujiepusha na wanasiasa wa kimakundi
It's a good start kwa mtazamo wangu
Mpango is not politician
Atamsaidia MH Rais Samia Suluhu Hassan
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
*2 samwel 10.12*
*Uwe hodari,tuwe na ujasiri,kwa ajili ya watu* *wetu,na kwajili ya miji ya Mungu wetu,Naye* *Bwana atafanya yalio* *mema machoni pake:*
Tuendelee kumtumaini Bwana ktk janga hili pekee yetu hatutaweza
Jikinge wakinge na wenzako.