@nyuki_malkia Hili ni tatizo kubwa sana katika taifa,ni tatizo kubwa sana katika taifa kuwa na vijana wanao taka slope ya maisha
Vijana wanaotakiwa ku hustle watoboe wanawaza kulelewa,hatari sana hii
@Mnyakilumbo @yangasc1935@gsmmalls@aucho_khalid08 Utopolo bana ,hivi hii timu huwa inatengeneza timu kushindana na simba au kuchukua makombena kushiriki mashindano ya kimataifa