@Shamshu11428218@dr_bashiru Maendeleo tuliyaona lkn, tofauti na hichi kipind cha njaa , umeme shida maji shida na maendeleo hakuna mikopo mingi amfikiriii
@Sirjeff_D Maisha ya mwanadamu ni full of stresses, kila mtu aliyekuwa katika dunia hii anastress kutokana na situation aliyokuwa nayo kwa muda maalumu, tukija kwenye utajir na umasikini kwakwel ndugu zangu kuwa na pesa kwanza ndio uongee hizo shit, @srjeff_D