@Frank_milanz@Roma_Mkatoliki By the time alikua amekuzidi? Ulishiriki kuchangia ? Je huo mchango wako ukiuweka unakubadilishia maisha? Don't turn yourself into a joke
@Frank_milanz@Roma_Mkatoliki Tenda wema nenda zako watz mkoje mkisaidia mtu mara moja mnataka kila siku atie huruma eh๐ hizo ni hila na ni ngumu kufanikiwa ukiwa hivo
@Eric__Bernard Kwani kama watanzania tunataka nini haswa! Maana watu wametii serikali ila bado tunawakejeli wangeenda kufanya fujo tungesema wabaya pia ... tushirikiane kurejesha maisha kama yalivokua sifa kuu Tanzania ni upendo basi tupendane๐๐