Philosopher|Teacher|Husband|Father|Worker.
Speak the truth even if the heaven is to fall. Peace finds its solid foundation in social justice. My Tz I love you.
@mshambuliaji Labda wataalamu wa sayansi ya afya watuambie, mimba inachukua muda gani kitungwa kama tendo limefanyika katika zile siku za mimba kitungwa endapo tendo la ndoa litafanyika kwa usahihi wake
@TweveDevota@MustaphaBurhani Wahadhiri ina tafsiri tofauti tofauti kulingana na muktadha. Je, hao waliojitambulisha kwamba ni wahadhiri ni wahadhiri kweli kwa tafsiri pana kwamba ni walimu wa vyuo vikuu? Wanafundisha vyuo gani?
@FalesBoni64699@Getrude_mollel@Kipanga1986@_zack255@Cutyhusnah CPA Boni, mimi nimesoma kwenye hivyo vyuo vya kanisa, BA, MA na PhD hakuna kitu kama hicho. Mtu anapewa degree kwa vigezo na siyo kwa status yake otherwise watawa na mapadri wote wangekuwa PhD holders au wengine wasingekuwa wanachelewa kumaliza.
@FalesBoni64699@Getrude_mollel@Kipanga1986@_zack255@Cutyhusnah PhD ni PhD kama imetolewa na taasisi inayotambulika, na hiyo ni kumaamisha kwamba vigezo vilizingatiwa. Siyo PhD special kwa makasisi pekee na humo darasani unakuta wanasoma na watu wengine. Mitihani wanafanya, research wanafanya kama wengine na msoto wanaupitia kama wengine.
Tuendelee kuombea taifa letu ili HAKI NA UKWELI viweze kutamalaki na hivyo tuwe na uhakika wa AMANI ya kudumu. Pia tuwaombee marehemu waliotangulia mbele ya haki, Mungu awape pumziko la amani, bila kusahau kuwaombea wale wote ambao mali zao ziliharibiwa.