Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Krismasi.
Tusherehekee sikukuu hii kwa amani, upendo na utulivu, tukidumisha mshikamano wa kitaifa.
_____________
#Tumejifunza#TunajengaMustakabaliMpyaWaMatumaini
#TunaendeleaMbeleKwaUmoja
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: https://t.co/gwiqxvQlrV
MAMA anawatoa vijana mtaani na kuwapa ujuzi unaobadili maisha yao.
Karisha Ezekiel anasimulia safari ya maisha yake hadi kufika VETA.
#OktobaTunatikiSamia
Kila mtoto anayetimiza umri wa kuanza shule, sasa anaanza bila hofu yoyote.
Wanaojiunga sekondari nao hawana hofu kwani hakuna ada, madarasa yapo, walimu wapo na zana za kufundishia.
#OktobaTunatikiSamia kwani amewatua mzigo wazazi na kuboresha elimu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Airtel Bw. Sunil Bharti Mittal aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Agosti, 2025. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na uongozi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: https://t.co/aWUNyogQwE
MAMA ameboresha mazingira ya uwekezaji na matokeo tunayaona kwenye ongezeko la miradi.
Mwaka 2020: Miradi 207
Mwaka 2024: Miradi 901
Ongezeko hili ni zaidi ya mara nne, ambapo litazalisha ajira 212,293.
#OktobaTunatikiSamia
Ujenzi wa barabara ya Nyakahanga-Nyabiyonza -Masheli umetatua kero ya usafiri iliyokuwepo wilayani Karagwe.
#OktobaTunatikiSamia kwa sababu ameboresha miundombinu ya usafiri na usafirishaji nchini.
Baboons have a varied diet, eating fruits, seeds, insects, and even "small animals 😂🤔😔"
📍 Akagera National park with @reallifesafaris.
Travel with us then you experience, explore, connect to nature, relax, learn, enjoy...more beyond expectations.
#baboons#reallifesafaris