IN THE HALLS WHERE JUSTICE TREMBLES AND TRUTH SEEKS ITS TONGUE, STANDS TUNDU LISSU NOT MERELY AS A LAWYER, BUT AS THE VOICE THAT STEADIES JUSTICE AND GIVES COURAGE TO TRUTH. THIS MAN BREATHES LAW
I HEREBY REST MY CASE
Hon. Tundu A. Lissu...
I decree and declare today that Hon. Tundu Antipas Lissu is the "godfather of justice" in the United Republic of Tanzania. To God be all the glory. Ameeen!!!
‼️EXCLUSIVE‼️
Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”.
Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌
#FreeTunduLissu
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya.
Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam.
Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026.
Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
SC TAL "Waheshimiwa majaji najua mnafahamu nna msiba mzito wa alienilea i was hoping ingekua kwenye hesabu zenu kuniacha nikamzike maana sikumuuguza ila naona haipo"
How cold hearted can U be kumfanyia mtu ukatili huu?
TAL!
Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts,
akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!,
akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana!
Akasema let me speak my mind!
“Siku zote watu wenye HATIA ndio huwa WAOGA. Watu wasiokuwa na hatia sio waoga. MIMI sio muoga kwasababu SINA HATIA. Na kwasababu sina hatia NIKO TAYARI kukaa Gerezani AS LONG AS IT TAKES kupigania HAKI. Bob Marley aliimba hivi,(Truth may be an offense, it is never a sin)” - TAL