"Kanisa ni Takatifu, sio kwa sababu ya matendo yetu, bali kwa sababu kichwa chake ni Kristo mwenyewe ambaye ni Mtakatifu. Kazi yetu sisi ni kuishi kwa kumfuata Yeye, sio kuunda Kanisa kwa mfano wetu" ~ Papa Leo XIV
Β« God cares for us, God loves all of us, and evil will not prevail ! We are all in God's hands. Therefore, without fear, united hand in hand with God and among ourselves, let us move forward. Β»
Siku ya 2 ya mwezi wa Tano.
Rozali Takatifu matendo ya Uchungu.
Rozali itakuokoa na moto wa milele, Rozali itakuleta karibu zaidi na Mungu. Tusali zaidi Rozali.ππ
Baraza la Maaskofu wa Katoliki (TEC), limekanusha vikali kuhusika na waraka unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii, wenye kichwa cha habari cha "Waraka wa Kichungaji kusomwa katika Parokia zote, vigango na Jumuiya ndog ondogo zote nchini Tanzania kwa wiki 10 mfululizo"
Waraka huo ambao umeandikwa kufuatia kushambuliwa na kuumizwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza Maaskofu nchini, Padri Dk. charles Kitima, ambaye anaendelea kupatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Aga Khan.
Did you know you can finance your bus directly with us? β
Our in-house financing offers practical, flexible solutions with no third parties involved. You get one-stop service, expert support, and financing options in either Kenya Shillings or US Dollars. Itβs all set up to work for your business.
Kumbukumbu ya kufufuka Yesu Kristo ruhusu afufue;
1. Tabia yako
2. Uchumi wako
3. Mahusiano yako
4. Imani yako
5. Akili yako
6. Afya yako
7. Familia yako
8. Nyota yako
9. Jina lako
10. Elimu yako
Happy Easter amini ya kuwa Mungu anakupendaππ½ππ½ππ½.