Haijalishi umetenda dhambi mara ngapi,kumbuka kutubu kila wakati ikiwa bado unafanya dhambi hiyo basi utubu tena.Kila siku unapoamka & kila wakati unaishi Mwenyezi Mungu anakupa wakati zaidi wa kuwa mtu bora akusamehe.Jaribu kujiboresha katika njia nzuri kila siku.
#wapwatuinuane
36 Sura Ya-Seen, Aya 82 - via #QuranMajeed app by #Pakdata HIS COMMAND WHEN HE DESIRES A THING IS ONLY TO SAY TO IT “BE!” AND IT IT 83: so glory to him in whose Hand lies the dominion of all things, and unto Whom you shall be returned https://t.co/M6Cq2jvAZS
Kwa jinsi Meko alivyofeli kuhandle hii crisis ya 🦠 hii ni wazi kama CCM kingekuwa kinasimama kwenye misingi ya uzalendo huu ulikuwa ni wakati wa ku recall candidacy yake awe released akauguze mama yake! Aache nchi iongozwe na watu wanaojielewa siyo hili seti tupu halina memba!
Tajiri na mfanyabiashara wa duka la electronics Arusha(picha chini) Haji Abbas Mohamedhussein maarufu kama Benson kafyekwa na 🦠🦠
As we speak kishazikwa huku ndugu wa 5 tu wakishuhudia! Mihela yote ile kazikwa kama kibaka
Tanzania yenye ndege mpya 9 ikiwemo Dreamliner, yenye kujenga Bwawa kubwa la Umeme Stigler’s Gorge, yenye kujenga Reli ya kisasa LAKINI INA WATAALAMU MAABARA 8 tu WENYE UWEZO WA KUCHAKATA VIPIMO VYA COVID 19. Bwana Rais @MagufuliJP DONT YOU FEEL ASHAMED?
WAPWA KAMA WAPWA TUINUANE
Usiku huu like na ku reply handle yako, kisha follow wale wote watakao like na ku-reply pia wao watakufollow back Wapwa tusisahau ku-reweet
@suma_clever 🙏
Wapwa kitu kimoja tuwekane sawa hatuna group la WhatsApp
mambo yetu yote tutamaliza hapahapa
DM ipo wazi muda wote pia hashtag yetu ipo #WapwaTuinuane
sawasawa 💪