@Labella_Mafia95 Kuna mzee anaitwa Mpemba ni mtanzania aligundua kwamba maji ya moto yanawahi kuganda kwenye freezer kuliko maji ya kawaida uhunduzi wake ulitumika kwenye maandiko mbali mbali na ikazaliwa dhana ya mpemba effect..google kwa elimu zaidi