@kizinja4 @DinglesOfficial Hivi kenya mnaichukuliaje lakin😎 katika top 10 ya afrika nzim KENYA wana majengo 3 alf sauz Ma4 misri 1 naijeria 1 na ethiopia 1......Alf eti unakuja kusema iyo takataka ndo ndefu kuliko yote EAC😂😂 Muwe mnafatilia kabla ya kukoment
@kizinja4 @DinglesOfficial Kaka unakielewa unachokinena😂....Top 3 ya gorofa refu EAC hakuna hata moj linalotoka nje ya KENYA alf kwenye 5 ndo kuna la ETHIOPIA moja alf top 10 ndo ya bongo yapo 2 kama sio 1