@gabyconscious@j_kalebu Kaka sjui kama una class ya hizi fursa za online, ila kama unayo naomba basi niwe mmoja wa wanafunzi! Kama huna, basi pia naomba namna niweze jifunza kwako!? Nb. Niko zero kabisa kwenye mambo ya fursa za mitandao na sijasoma IT
@BlacDaady Mwanangu chuma mpya haina hata mwezi VW toureg! Wana waliichoma mitaa ya Gaza! Alipaki karbu na kituo akijua ni mahali salama zaidi!! Si ni life!
@BlacDaady Walinisonga, wakaniweka kati kwa nia ya kunitwanga, mimi nikipiga kelele tuwaangalie waliopata tabu tuwakimbize hospitali wao wakitaka kunitwanga! Ni bahati tu mmoja kati yao nadhan alkua ni kiongozi wao ama tu ni mtu wanamuogopa au kumuheshimu aliengilia kati pale 🙏
@BlacDaady Iliwahi nitokea hii, boda moja na bajaji, nikasogea mbele nikasimama nikakimbia eneo niwahi nami kutoa msaada nijarbu kuwakimbiza hospitali kama inabidi, sku ile nilijifunza na sitorudia kusimama tena eneo la ajari, nitakwenda nearest trafic point au kituo cha polisi cha karbu!