@kiNZeNZ@GamerReaga92823@IgoraIrene32964 Nina miaka 20 kwenye ufundi naongea kitu ninachokijua siyo nabahatisha,scania ya mtumba inaweza kukaa miaka 8 mpaka 10 haujagusa engine difu wala gearbox hii maana yake ni kama inakuwa 0km inaweza kukaa mara mbili yake,lakini howo haiwezi
@kiNZeNZ@GamerReaga92823@IgoraIrene32964 Lengo la mtoa post ilikuwa kulinganisha ubora kati ya mchina na scania ndio maana aloyejibu alisema mchina atabaki kuwa mchina hawezi kumzidi mzungu kwa ubora,wewe ndio umekuja na mada ya kibiashara kwa kutafuta faida ambayo hiyo ni mada nyingine labda tuanze kuijadili
@kiNZeNZ@GamerReaga92823@IgoraIrene32964 Scania kama 114,124 na 94 zimetetoka miaka 22 iliyopita na mpaka leo zipo tena watu wananunua za mtumba na unakaa nazo zaidi ya miaka 7 ndio uje ufanyie overall engine, je ikiwa 0km itakaa muda ganj
@kiNZeNZ@GamerReaga92823@IgoraIrene32964 Hicho ulichosema cha kuvuna pesa ndicho kinachowafanya matajiri wanunue mchina kwasababu ni bei rahisi inarudisha pesa kwa muda mfupi ila siyo kwamba ni bora kuliko scania, ubora unapimwa hata kwenye gharama za uuzaji wa chombo
@BOBmshamba@ireneejusti12@Mwinshehe07 Siyo kweli kwamba Irizar ni model ya scania, Irizar ni kampuni inayotengeneza body za bus na kuziuza kwenye baadhi ya makampuni ya mabus kama ilivyo kwa makopolo ndio maana zipo benz bus ambazo ni Irizar
@kiNZeNZ@GamerReaga92823@IgoraIrene32964 Ishu tunazungumzia ubora wa gari kati ya mchina na scania. Scania 0km unaweza kulitumia kwa zaidi ya miaka 15 na bado ukaja kuliuza kwa bei inayokaribiana au hata zaidi ya gari ya mchina,lakini mchina 0km ndani ya miaka 5 linakuwa halifai tena kwa matumizi wala kuliuza
@kiNZeNZ@IgoraIrene32964 Tanzania tunatumia scania za mtumba,mfano 114 imetengenezwa mwaka 2000 mpaka 2006 na tunanunua sisi tunakaa nazo zaidi ya miaka 10,lakini mchina ambayo 0km hauwezi kukaa nayo hiyo miaka mzee
@kiNZeNZ@IgoraIrene32964 Kwa kigezo chako hicho hicho nunua tu scania ya mtumba na mchina mpya 0km wape njia moja alafu baada ya miaka mitano uone gari ipi itabaki barabarani na ipi haitakuwepo barabarani, na gari ipi unaweza kuiuza tena baada ya miaka mitano na ipi haiuziki?