From the quiet walls of a convent to the grand halls of her own making, Modesta refused to be caged. She chose freedom, desire, and the courage to live entirely on her own terms.
The Art of Joy🎥
HIZI MBINU 8 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA
1. KAMA UNASHINDWA KUPUMUA VIZURI
Weka mikono yako juu ya kichwa, mapafu yako yatafunguka haraka.
2. KAMA UMESHIKWA NA HOFU YA GHAFLA (PANIC ATTACK)
Gusa kitu cha baridi (simu, chuma au maji). Ubongo wako hubadili hali kutoka hofu kwenda utulivu.
3. KAMA MOYO UNADUNDA KWA KASI SANA
Kohoa mara 2–3 kwa nguvu. Hii husaidia kurekebisha mapigo ya moyo.
4. KAMA UNAHISI KIZUNGUZUNGU
Angalia sehemu moja tu na kaza misuli ya miguu. Damu itarudi haraka kuelekea kwenye ubongo.
5. KAMA UNAWAZA SANA (OVERTHINKING)
Hesabu kurudi nyuma kuanzia 100 kwa kupunguza 7 (100, 93, 86…).
Akili haiwezi kuwaza kupita kiasi na kufanya hesabu kwa wakati mmoja.
6. KAMA HUPATI USINGIZI
Toa pumzi taratibu zaidi kuliko unavyoivuta (mfano: sekunde 4 kuvuta, 7 kutoa).
Ubongo huingia katika hali ya usingizi.
7. KAMA PUA YAKO IMEZIBA
Shikilia pumzi kisha tikisa kichwa juu hadi chini taratibu.
Husaidia kufungua njia ya hewa.
8. KAMA UNA WASIWASI WA GHAFLA
Jimwagie maji usoni. Hii huamsha mwitikio wa mwili na kuleta utulivu.
Ongeza Nyingine Tujifunze 👇
@narendramodi Heartfelt greetings on the auspicious occasion of Attukal Pongala. This festival holds special significance for our women power. May this auspicious day bring prosperity and health in everyone's lives. May the spirit of unity and togetherness prevail in the society.
Hakuna anayekufikiria sana kama unavyofikiria wewe mwenyewe.
Kila mtu yuko busy kujaribu kuokoa maisha yake.
Hata hao wanaokuambia “tupo pamoja ” wana mipango ya kuondoka ikiwa mambo yataharibika.
Na utabaki mwenyewe .