@dittop20@Jaguar_455 Kituo gani kwa mfano ingepelekwa na kwa style gani gari ingefika kituoni, yaani utamuuliza nani gari ilipo na huko alipoitwa Dr angeenda kwa usafiri gani ili awahi na unadhani mfukoni alikuwa na hela ya ziada ya kumfikisha anapotakiwa kufika haraka?
@HildaNewton21 Hawa mawakili wa serikali wanajliza maswali ambayo hayaendani kabisa na hati ya mashitaka hata kama ni cross examination lkn hayo wanayouliza hayaendani kabisa yaani kama wanataka kufufua kesi za Brenda mwenyewe badala ya Lissu
@eastafricatv Yana mwisho haya, inaweza isiwe kesho wa keshikutwa ila patapita nyakati ngumu tu ili kila Mtu afuate sheria iwe Polisi awe Raia, awe Rais hata Waziri tutaheshimiana tu one day
@SimbaSCTanzania Misiba mingapi mnatoa salamu za pole, wangapi mashabiki wenu tunafiwa na Wake, Waume, Watoto na Wazazi huwa mnatoa salamu za pole? Acheni ubaguzi wa kipumbavu, kama mpira iwe mpira na kama Uongozi utajikita katika masjala ya Kijamii iwe hivyo bila upendeleo
@HildaNewton21 Kuna definitions 3 @BrendaRupia amewafungua macho na ufahamu Jamii iliyopo Mahakamani ambayo hata mimi nimeielewa vizuri mno, UASI, HAKI na KUKINUKISHA...very interesting kwakweliππ
@HildaNewton21 Mbona kama @BrendaRupia naanza kumkubali sana katika kujibu mambo, kwakweli CHADEMA ina Vichwa haijalishi jinsia, sio ule upande mwingine ni Undugunization tu na Uchawa
@Jaguar_455 Unadhani haki inategemea Mtu!? Mpuuzi mmoja wewe u aewaza kumtegemea Mtu na kuishia kujitoa akili na Utu ni utumwa wa kifikra huo, unashindwa hata kufikiri na Mdada kama @HildaNewton21 ambae hana nidhani ya woga kwa wadhalimu na wasiotenda haki, ushaambiwa HAKI huinua Taifa
@HildaNewton21@BrendaRupia anateleza vizuri sana kwenye ushahidi, huyu anaweza kushinda Nusu wa wale wanajidai Watunga Sheria wa Nchi ya Malawi kazi ni Uchawa tu kule kwenye Jengo la Malawi
@HildaNewton21 Mzee wa multiple choice huwa anajiwahi ku interrupt maana atajikuta hana cha kuuliza kwa notice alizoandikiwa kuuliza, yaani nina uhakika hawa Mawakili wa Mama huwa wanafanya prepo kwa makundi na kuandikiwa maswal ya kumuuliza shahidi hasa Ajua..e
@kibiki001@HildaNewton21 Mpumbavu bora unyamaze, Taifa lishajijenga Wanasema, sasa wewe unataka lijengwe Taifa lipi? Tushafika pazuri acha tuone panapovuja usilete taharuki