Baadhi ya hatimiliki za Ardhi za miaka 66 na 99 tulizokabidhi kwa wateja wetu miezi 2 iliyopita kutokea Mkoa wa Pwani na DSM.
Unahitaji tupange na kupima eneo lako kisha upate hatimiliki ya Ardhi ya miaka 66 au 99.
Umenunua kiwanja tayari kina hati unahitaji kuhamisha umiliki (Transfer)
Unahitaji kugawanya eneo ambali limeshapimwa (Subdivision).
Unahitaji kupewa taarifa ya ukaguzi wa kiwanja kabla haujanunua.
Una eneo limeshapimwa unahitaji hatimiliki ya Ardhi.
Unahitaji ushauri wa jambo lolote linalohusu sekta ya Ardhi.
📍Ofisi zetu ziko Goba, Dar es Salaam @iplan_tz
Wasiliana nasi 0629600673 au 0716418657

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeendelea leo Septemba 2, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam, ikiwa katika hatua ya ushahidi wa utetezi uliotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho – Bara, Amani Golugwa.
Baada ya kumalizika kwa ushahidi wa leo na kesi hiyo kuahirishwa hadi Septemba 3, 2026 Lissu aliulizwa na mmoja wa Mawakili kuhusu CHADEMA kuonekana kuwa “Chama cha Marasta”, ambapo alijibu kwa kumtaja Mwanamuziki nguli wa Reggae, Bob Marley.
“Rasta ni freedom fighter, waambie wamsikilize Bob Marley, ndio watajua kwanini ni Rasta,” amesema Lissu.
Awali katika ushahidi wake, Golugwa amesema wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 alikuwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na alishuhudia changamoto mbalimbali, ikiwemo madai ya Wagombea wa Chama hicho kunyimwa fomu, baadhi ya Wagombea wa Vyama vya Upinzani kuenguliwa pamoja na Mawakala wao kutoruhusiwa kutazama uchaguzi siku ya kupiga kura.
#MillardAyoUPDATES
“Tuwe na mahakama maalum (special court) ya kushughulikia mashitaka yote ya kuwajibisha watu, wale watu waliohusika [na mauwaji ya] Oktoba 29; na pia wale waliohusika kuwapoteza na kuwateka watu.” – Prof Issa G Shivji
1. GEN Z, LEO MMEKUWA VINDICATED! Mpaka wazee sasa wamejoin movement yenu ya kudai haki………
2. Kama hali hii itaendelea Tanzania basi nawahakikishia ndani ya 5-10 years itaibuka armed group Tanzania. Historia inakwambia hili……
3. Jeshi la JWTZ, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA - VIMETEKWA KAMA CCM ilivyotekwa……
"Chimbuko la matatizo haya ni uchaguzi na watu wanaotaka kubaki madarakani kwa njia ambazo si za kikatiba, tusipotatua hilo nchi hii itazalisha wakimbizi." Mhe. @HecheJohn
Msikilize kwa makini mzee ISSA SHIVJ.
Hawa ndio wazee wa hili taifa-sio yule alikuwa anakatia nyasi ng'ombe za nyerere (HOUSE BOY BUTIKU).
MUNGU akutunze mzee uishi miaka mingi mpaka tutakapokomboa hii nchi ufurahie ulichokipigania.
Miaka 90 ya historia. Miaka 90 ya Simba. ❤️🦁
Tunawaheshimu waliotutangulia na tunajivunia tulipofika. Sasa ni zamu yetu kuandika historia inayofuata.
Wana-Simba, tusimame pamoja. Ndoto yetu bado ni ile ile — kuiona Simba ikiwa Bingwa wa Afrika. Na ninaamini kabisa, tutafika!
#Simba #NguvuMoja.