@HecheJohn Haya mambo wanaiga kwa mseveni ni ujinga kabisa bila haya wafanya haya kwa ajili ya nini ili iweje na kwa manufaa ya nani Elim Elim Elim Nikitu cha busara sana
President Dr. Samia Suluhu Hassan welcomes fellow African leaders, delegates and partners to the Africa Energy Summit 2025 to be held on the 27th - 28th Jan 2025 in Dar es salaam, Tanzania.๐น๐ฟ
Mtume Muhammad (s.a.w) amesema Anaposwali Mwanamke Swala Zake Tano na Akafunga Mwezi wake (Ramadhan) na Akahifadhi Tupu Yake na Akamtwii Mme Wake.. Ataambiwa Yeye Siku ya (Qiyamah) Ingia Mlango Uutakao
Hadeeth Swahih....
VIDEO:
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu akiingia katika viunga vya Mlimani City jijini Dar es Salaam tayari kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho ambao umelenga kuchagua viongozi wakubwa wa kitaifa wa chama hicho.