@mshambuliaji Hayo ndo matatzo ya kuchanganya hisia za mapenzi na umaskin π€£ mda ote unahis unaonewa lakin sababu huna ela ndomana unajiham afu unafanya matukio yanayokugharim Kama hv
@jckyTheBon Sio tajir Tu walikua wapole wanajeshi na land cruiser Yao mwaka Jana afu mvua inapiga kubwa wanajeshi kila unachowauliza wanajibu vzur nkasema dah kweli Wana wamenasaπ