‼️MAFWELE TULIKUONYA USILALAMIKE‼️
Huko ndani Mafwele amesikika akilalamika very bitterly kuwa hakubali kuwa bangusilo! Naona hadi anatisha huko mambo ya uteuzi! Ushirika wa wachawi haudumu!
Mi nilikwambia Mafwele mapema JIPANGE! Unapokea maelekezo kwa simu kutoka Abdul? Haya una nini ya kujitetea? Wanaenda kukuangushia jumba bovu! Sasa we unafikiri eti Rais ajaye atakupa unachotamani (kuwa IGP) kama ilivyokuwa kwa Makonda - basi elewa hatujamalizana na ninyi wote! Safari hii tutahakikisha mnawajibika FULLY!
Mtajijuana huko ndani - ila utakula jeuri yako!
#TutaelewanaTu
Leo tarehe 16 Mei 2026 nimepata bahati ya kuzungumza na wananchi wa Katoro katika uzinduzi wa Operesheni #KatibaMpya na #FreeLissu uliofanyika Mji Mdogo wa Katoro, Mkoa wa Geita.
Ndugu zangu wananchi wa Geita, nyinyi ni watu wema, wenye upendo na moyo wa dhati katika harakati za kudai haki, demokrasia na mabadiliko ya kweli. Sisi @ChademaTZ2 tunawapenda sana na tunawashukuru kwa support yenu kubwa na ya dhati.
Pamoja tuendelee kupigania Tanzania yenye haki, uhuru na katiba mpya kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
#OperesheniKatibaMpyanaFreeTunduLissu
#Tunawatututashinda
Speed haina maana kama umepotea njia .
kuongeza mwendo wakati wakati umepotea ni kupotea zaidi.
1. Kuendelea kuteka watu, kuua watu, na kutishia maisha ya watu ni kupotea njia zaidi.
2. Matishio dhidi ya taasisi ambazo zipo kisheria na zinazotakiwa kufanya wajibu wake, ni kupotea zaidi
3.kuendelea kumshikilia Lissu na kutaka kukamata viongozi wenzake ni kuongeza tatizo ni kupotea zaidi.
4.kujaribu kufunika mabaya ambayo yalifanywa na dola bila kutambua na kujirekebisha ni kupotea zaidi.
Rudi nyuma soma Ramani shika njia sahihi.
🙄🙄 Bora ukae kimya Kabudi!Ujue kinachokuja utalaumiwa hadi na familia! Nakushauri vizuri ACHA! Watanganyika si wajinga msituchezee hapa maigizo! Never again wakati mnaendelea kuua na kuteka?
Wajibikeni, ondokeni! Stop talking!
#SamiaMustGo#TutaelewanaTu
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Mhe. Boniface Jacob akizungumza katika mkutano wa mwendelezo wa Operesheni #KatibaMpya#FreeLissu leo tarehe 17 Mei 2026 Geita Mjini, Kanda ya Victoria.
Geita mjini imeitwa ikaitikia wito wa chama Chao. Katika magumu yote wanayoyapitia Watanzania Mungu ameileta @ChademaTZ2 kama njia ya ufumbuzi. Huu ni mwanzo tu watatoa sana milio........
🔥🔥KATORO IMEITIKA NA HECHE YUPO👊🏽‼️
Katoro imefurika na ninamwona brother @HecheJohn
Watanzania WAMECHOKA na wako tayari kwa mabadiliko! Hawaombi wanadai kwa vitendo
#TutaelewanaTu
Safi kabisa hatuna muda wa kujadili ushenzi wa Takataka inaitwa "SISTA NYAHOZA".
KuFungia chadema, kuifuta Chadema ni kucheza na UTULIVU wa nchi uliopo.
Sote tunajua nchi haina AMANI-hiki ni kisiwa cha UVUMILIVU, afu wewe ulete ushinzi wako.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Asanteni Katoro, Taarifa ya mchango wenu kwa ajili ya kueneza injili ya Katiba Mpya na Free Tundu Lissu ni kama inavyoonekana, Asanteni tena na tena.
Tuendelee kukichangia chama chetu,kupitia namba 0744 446969 Jina Chadema HQ
Shosti anamtetea mkoloni wa kizimkazi watu waendelee kuteka na kuua watanganyika wenzake kwa maslahi ya tumbo lake.
Anataka kufuta chadema kwa kukataa wauaji na kutaka wawajibishwe
Hatumalizi week hatujaokota maiti za watanzania.
Utekaji unaendelea kushamiri kwa kasi nchini.
Huoni uwajibikaji wala kauli ya kukemea jambo hili.
Uhai wa watanzania kwasasa sio kabisa kipaombele cha WAKOLINI WEUSI.
Sijui kama taifa tumewahi pita nyakati za giza kama hizi.
#TANZANIA: TLS WATAKA HAKI KWA LISSU KESI YA UHAINI NA YA UCHOCHEZI, WATOA MAPENDEKEZO MAZITO
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (@TanganyikaLaw) kupitia kwa Rais wao, Wakili Msomi @Mwabuk2Boniface leo Mei 11, 2026 amesema wanafuatilia kwa ukaribu kesi ya Wakili mwenzao na Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Taifa, Wakili msomi @TunduALissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi ya uchochezi.
Mwabukusi amesema kesi hizi zimesimama kwa muda mrefu bila sababu za msingi, amesisitiza Lissu apewe haki yake kuliko kuendelea kusota gerezani bila kesi kuendelea Mahakamani jambo ambalo amesema ni kinyume na sheria.
Zaidi: https://t.co/1GvRY6Izyk
Tundu Lissu alitaka Wajumbe wa Tume wasiteuliwe na Rais. Alidai kuwepo na Michakato Huru ya kuwapata Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi, ili tuwe na Tume Huru, ya Haki na yeye kuaminika. Je alifanya kosa gani hapo?. Mwachieni aendelee na shughuri zake!!.
#FreeTunduLisuu
‼️IKITOKEA NIMETEKWA/KUPOTEZWA AU KUUWAWA, KINGAI NDO ATAKUWA MUHUSIKA NO. 1‼️
Nimepewa taarifa kwamba Mkurugenzi wa Upepelezi wa Makosa ya jinai nchini (DCI) Ramadhan Kingai ametuma Team ya maofisa wa Polisi wanitafute popote nilipo, wanifikishe kwake nikiwa hai au maiti,
Kingai anadai nimedharau na kukejeli wito wa Jeshi la Polisi ambao waliutoa siku kadhaa zilizopita.
Team hiyo aliyoituma inaongozwa na ofisa wa Polisi Kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma jina lake ni Edward Pius Soteli wengine ni
1. Detective Juma Sadick Bahat, huyu Katolewa ofisi ya RPC wa Mtwara,
2. Detective David Edward Mabula huyu katolewa ofisi ya RPC wa Ruvuma.
3. Detective Eliud Peter Kivuyo, huyu katolewa ofisi ya RPC wa Iringa
4. Detective Ally Jamal Mganzo huyu katolewa ofisi ya RPC wa Kigoma
5. Detective David Sailevo Lukumay, huyu Katolewa ofisi ya RPC wa Tabora.
Serikali haram iko na mambo ya hovyo sana yani pesa kwa ajili ya kufanya maendeleo hakuna lakin pesa za kulipa watu ili watutafute na kututeka zipo za kutosha.🚮