@BrendaRupia Hivi sio kwamba aliletwa na Mboye? Huyu Mboye huyu!??? Alikuwa aue chama kabisa. Pongezi kwa kina @MariaSTsehai ametusaidia sana kuwajua hawa wasaliti hatari kwa chama.
Kama ni mgeni wa Jiji unaweza kufikiri watu wanashangaa ajali ya bodaboda๐๐๐๐
Kumbe ni uzinduzi wa Kampeni za mgombea Urais ๐๐๐๐
Watanzani ni Jeuri sana
KESHO NITAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI.
Ninawaalika wanahabari wote kesho saa 3 asubuhi katika Hotel ya Jinke zamani KEBBY'S HOTEL iliyopo Bamaga Dar es salaam.
Ni kesho In Shaa Allah!
#KARIBUNI_SANA