@jwise017 Nimependa sana akiliyo tumika kutufanya tuskie tangazo mwanzo mwisho coz 90% ya wanaume tume maliza tangazo lote na I hope viwanja vitaisha mapema coz tume amini kiwa uki nunua plot huko mambo kama hayo tuta yaona 24/7
Nice idea dada na tutakuja
@VodacomTanzania Habari voda ni home wifi ila inasumbua sana sana sana
Namba 100 now ni mwaka wa 4 sjawahi fanikiwa kuongea na nyie kupitia namba 100
Pliz nicheki now 0767872066