@_zack255@420Cousin@kigogo2014 Nchi zinazotumia hii mifumo nyingi huwa zinacamera barabarani hakuna trafiki mnaweza kushea demu na trafiki ukajikuta huna point ndani ya siku 3
Msikilize kwa umakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @HecheJohn
Mnaojaribu kusema chama imekuwa ya wanaharakati kasema poa tu ila ameeleza wazi hata mtoto mdogo anamwelewa kwa nini hakuna mazungumzo (siyo maridhiano) ya aina yoyote watakayokubali kwa mazingira ya sasa - msimamo bora ambao ndo tunataka wananchi!
Akili kubwa and very eloquent ๐๐ฝ
I am so proud of Heche! He is focused and articulate! Leaves no room for doubt hakuna konakona
Stay the course โ๐ฝ soon #TutaelewanaTu
#FreeTunduLissu
Wauwaji wa October 29 Watawajibishwa, kuanzia waliotoa order za mauwaji, mpaka waliotekeleza order hizo na mpaka yule killer in chief aliesimama hadharani baada ya mauaji na kusema proudly kuwa nguvu sahihi ilitumikaโฆโฆ.
Na CCM itatoka madarakani na Watanzania wataweza kuchagua chama wanachokitaka, Rais wanaemtaka na wabunge wanaowatakaโฆโฆ
Cha msingi, HOLD THE LINE!!!!!!!!!!!!!