Mbinu za kujenga imani kwa wateja mtandaoni
-Weka Taarifa Sahihi Kuhusu Biashara Yako
-Tumia Picha Halisi
-Epuka kutumia picha zilizopakuliwa mtandaoni,tumia picha za kweli za bidhaa zako.
-Toa ushuhuda wa wateja
-Weka uthibitisho wa Malipo na Uwasilishaji
Mwenyezi Mungu hafurahishwi na uzuri wa sura yako sababu hiyo ni kazi yake, bali Mungu hufurahishwa na tabia zako nzuri sababu hiyo ni kazi yako
JUMMAH MUBARAK 📿🕌
WAKUOGOPWA NI ALLAAH PEKE YAKE;
❝Ewe Mwanadamu, Naapa kwa Jina la Allāh, USIKUBALI hata Siku Kumuopogopa Mwanadamu mwenzako kwani DHAMBI juu yako, Mwanadamu mwenzako Unamuheshimu ila sio Kumuogopa, Haki ya KUOGOPWA ni ya 'Mwenye Ezi Mungu' tu.❞
Ramadan will make you realise that:
-you can do without Music
-you can do without Porn
-you can do without Gossip
-you can do without cheating
And you can pray 5 times a day, on time if you want to...
@francismtey Swali “nani amemuumba Mungu?” linatumia sheria za ulimwengu kwa Muumbaji wa ulimwengu hilo halina msingi maana kila kilicho umbwa kinahitaji Muumbaji.
Mungu si kiumbe, bali Muumba kuuliza “nani amemuumba Allah?” ni sawa na kuuliza “Ni nani aliyemuumba Muumbaji?”
@francismtey Hatusemi kila kitu kina muumbaji bali tunasema “ kila kitu kilicho umbwa kina muumbaji” Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa basi kila muumbaji naye angehitaji muumbaji.
Hivyo kungekuwa na mlolongo usio na mwisho (infinite regress)
Kutengeneza memes au kupost memes zenye maudhui yoyote ya dini, ni kosa, bali ni hatari. Ni moja ya vitenguzi vya uislamu wa mtu. Allaah amekemea vikali kufanya mizaha kwenye dini. BEWARE; DEEN AIN’T FUNNY.
#TajiriLaKihaya
Dini si mashindano ya mateso.
Wakristo wanadai kuwa kufunga Ramadhani si kugumu…je, tuliwahi kuwaambia kwamba dini yetu ni ngumu?
Watuache tufanye Ramadhani yetu kwa utulivu, nao wafanye Kwaresima yao ngumu 😂
Watu wote wanaopinga dini ukiwasikiliza hawana hoja zozote zenye mashiko za kwann wapinge
wanaopinga dini ni watu wanaotakaa kuyahalalisha matamanio yao na ufisadi wao ambao katika dini umeyakataza
Ss ili iwe rahis kwao kuyatekeleza hayo,kwanz wapinge dini ili wayafanye vzr
Je wajua..
Kwa nini Mwenyezi Mungu wa Haki ambae ni Allah Muumba wa viumbe wote ameweka KIFO?!
Kwa sababu Dunia sio makazi ya kudumu milele Dunia ni nyumba ya matendo na Akhera ni hesabu na Malipo
Huko ndiko hakuna KIFO
Chaguo ni lake Pepo milele ama Moto wa milele.
Na mfunge masiku maalumu yenye kuhesabika. ( Al-Quran )
Basi na mmoja wetu asipate unyonge na taabu juu ya funga yake, haya ni masiku machache tu yenye kuhesabika yaliyojaa Kheri na baraka ndani yake.
Mambo mengine huja katika hali ambazo hatuzipendi. Hapo ndipo mtu anapaswa kuwa na subra njema.
Na mnaweza kuchukia kitu nacho ni Kheri kwenu, na mnaweza penda kitu nacho ni shari kwenu. Na Allah anajua nanyi hamjui. ( Al-Quran)
#Ramadan #2
#SubraNjema
Swiyyam.
#TajiriLaKihaya
Kwa Sisi Waislamu Mungu wetu alituamuru tufunge kuanzia kabla ya jua kuchomoza hadi jua kutua.
Fanya lile ambalo Mungu wako alikuamuru na utuache peke yetu!
Uislamu ni mfumo kamili wa maisha Bora ya mwanadamu
Tukitaka maisha bora yenye amani ya kweli na furaha na raha basi ni kwa Uislamu
Uislamu uko kwenye kila nyanja iwe Uchumi au Siasa na Mambo ya Kijamii kwa hakika hakuna kama Uislamu.
#TajiriLaKihaya
Issue ya WAKENYA na ISRAEL…
Hadi wale waliokua wanaunga mkono Israel kuwaua wapalestina… Leo hawawataki israel Nchini mwao😅
Unatambua kwamba walikuwa wanawaunga mkono Kwa sababu ya Chuki tu Kwa WAISLAMU😂
Na historia ya Israel kuvamia makazi wanaijua vizuri tu…
na kwamba Hawa sio waisrael wa kwenye biblia wanafaham vizuri tu…
Na Hawa waisrael sio wakristo ni wayahudi wanajua vizuri tu😅
Ila wanajitia Hamnazo 💔