Mtu yeyote anayewafahamu WAZAZI wa Mtoto huyo hapo 👇, tafadhali naomba awaambie kwamba; mimi PETER MADELEKA, nipo tayari KUGHARAMIA MATIBABU ya mtoto huyo 👇, KUANZIA SASA.
Hellow family, nasikitika sana kuwataarifu kuwa nimepotelewa na mama yangu mzazi tokea jana, ana changamoto ya afya ya akili ila sio kwa kiwango kikubwa, please help me to repost 🥺😭
Mwanamke anaweza kulala na mwanaume yeyote anaemtaka, na mwanaume atalala na yeyote atakaempata,
ila mwisho wa siku Mwanamke ataolewa na yeyote atakaempata na mwanaume ataoa Mwanamke anaemtaka.
UMEWAI KUONA KWENYE POST NYING ZA SOCIAL MEDIA, kuwa Ahukumiwa Jela Miaka 180 au Kifungo Cha maisha?
Unajua tofauti yake? Unajua wa Miaka 180 anaweza Akarudi Uraiani kuliko uyo mwingine?
Kama hujui basi chukua dakika zako nikujuze na utajifunza kitu 👇