@Dr_ShirimaElite ๐๐๐hawa viumbe wametoka kwnye ubavu wetu jamaa angu ssi ndo inabidi tuwatunze na tuwalee, ukiachana na baba aliyenaye we ndo baba wa pili, hawana cha kutupa zaidi ya watoto na upendo
@abusumayyah_o@Granitinho85459@SeekNaturalLife Hapa siongelei ukabila mzee, naongelea dini zilizoletwa na hao wapumbavu mnaowaamini
Dini zililetwa ili watu watii mamlaka na kututenganisha, saa wwe ndugu mmezaliwa wote ety kisa sio muslim unamuita kafiri, zero brains ๐ฎ
@Granitinho85459@SeekNaturalLife Brother kaka hizo zote ni hadith kama zinavoitwa kwnye uislam, sjawahi kusikia utukufu wa kiafrica ukisambazwa na waarabu au wazungu, emb fikiria kwa upana, ila wao wanapambana sana kutubadili sisi tuwaamini, huoni wanavyoshindana kutuaminisha dini ipi ni bora kuliko nyngne