@Tanganyikan Kwaku jazia tu Burundi 🇧🇮 hizo parachichi longtime sema tu vita ndio vilikuwa vinawasumbua, kama pili pili za mwendokasi njano na red nimeziona Kongo uvira tokea 96 bongo ndio ss zinatamba
@MarekaMalili Wasipoangalia wataisha wote mmoja mmoja kama wanaweza kukimbilia ndani ya hizo balozi za ulaya waanze mapema kbs km Lissu alivyofanya kipindi kile cha hayati JPM
@ProLearner77 Hizi first world ukimpatia hela yake kamili bila 10% yako akujengea na hiyo kampuni kubwa inajulikana dunia ujue upataaa kitu chenyewee bro
@Roma_Mkatoliki Walianza wenyewe kukaa kimya mikia ss na cc tumejibu ila watu wanasahau mapema sana hata mwaka haujaisha kama sijakosea lkn walishasahau mikia hahaha