Hawezi kuongea, kutembea, wala kutumia mikono. Anatumia kichwa tu. Amemaliza kidato cha nne na kupata Div I.12. Nafurahi kuwa sehemu ya safari yake kielimu. Hongera Tino, hongereni walimu wenzangu! Mungu nni mwema!
#Ichoosetobeinclusive
Sielewi Unawezaje Ku “RE-BRAND” kitu kilichokufa? Zamani ukitaka hela za haraka unasoma uhasibu kwa sababu utaiba, ikahamia kozi ya procurement sasa hivi wezi wote na wavunja sheria, majambazi wanahamia @ccm_tanzania kujificha
SSH amejaribu ku RE-BRAND #Tanzania lakini international image ya Nchi ni tatizo dogo. Tatizo lake KUBWA ni Brand ya CCM ndani ya Nchi. Kwenye kitu alichoweza kukifanya vizuri Tony Blair ni re-branding ya Labour Party kuwa NEW Labour. Angemuomba ushauri ku-rebrand CCM si NCHI.
@JMakamba Kazi iendelee! When you are on top of ladder and you can or influence some decision, spare few minute to think about all who you left down because one day you will join them! Zamani hayo yalikuwa malalamiko ya wapinzani #katibampya. Get use to it brother!🤔
Honorable Minister @JMakamba if it hasn’t been brought to your attention,please note @tanescoyetutz power cuts have gone beyond tolerable limits. The damage being endured by brutal destruction of home appliances is beyond words. People are unhappy to put it mildly. #KSK_Balozi
@godbless_lema : Maridhiano lazima yaondoe tatizo na sio tatizo kujirudia,
Kama maridhiano sio kwa kusaidia wananchi hiyo ni dili ya madaraka tu
#KatibaMpya#MariaSpaces https://t.co/QHHPJK6BN1
Labda siku moja akipotea mtoto wa Majaliwa, Sirro au Kiongozi yoyote mkubwa ndo wataanza kuona umuhimu wa kufanya uchunguzi wa matukio ya watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kuna hii concept kwamba watawala wanasema hii ni demokrasia yetu. This is our own kind of democracy. Shangazi fatma anasema hakuna kitu kama hicho
Shangazi anafafanua zaidi tunamnukuu kidogo
Next tweet👇
#KatibaMpya#MariaSpaces
https://t.co/RJvZKCmFi5
@fatma_karume@johngikaro8 Subiri teuzi kashaanza kulipa fadhila, utatulizwa tu , soon hatutakuona space ! I am sure we will miss you but it will be for good🤔
Watamleta covid mmoja agombee ionekane ni shoo ya vyama vingi! Unajua nilikuwa simuelewi michael jackson aliposema ni bora uzaliwe nanihii ulaya kuliko bunadamu Africa hivi hawa watu wazima wanaamini kuwa wanabunge halali??
CCM kuchuja waliowania kuchukua kiti cha Uspika - https://t.co/JkDopvhihe via @MwanzoTv
Huyu ni Spika wa CCM - tushakubaliana kuwa Bunge hakuna ni CCM tu! Sasa wasiseme wanakwamishwa na upinzani 🤣🤣
#TutaelewanaTu mbona?
My daughter knows lazima nikapelekee kitu nikitoka job so nikifika kama amelala narudisha kwa bag inakua ya the next day and so on. Hii Nairobi ni kusurvive 😂😂
@mshambuliaji@TuliaAckson Waambie waache kuiba kura, kura zAke zilipigiwq mbarali pale kwa mbulushi waache uzushi na genge lao la kihuni tunataka uchaguzi #KatibaMpya itamaliza huu ushenz
Itawasaidia na nini wakati gesi inasafirishwa kwenda nje, watu wa watu wamechapwa bakora na wengine kuuliwa wakidai chao, baba kule wanavua na kukwea mikorosho na minazi hawana haja na phd, hizo ni za kwenu
Mtwara Naomba himizeni Shule! Maeneo Mengi ambao kuna fikra za imani fulani kwa wingi wamekumbatia Elimu ya dini kuliko Maarifa ya Dunia, hata maandiko Matakatifu yanasema usimwache bwana Elimu aende zake!