@millardayo Kama ajali zimesababishwa na overtaking, kuzuia kutoka stendi saa 9 au 11 itasaidia nini? Mmiliki awajibishwe na sio kuwapangia kuondoka saa 12 pekee kwasababu siku za nyuma muda ulikuwa saa 12 hiyohiyo.
@SheikhPonda Hii sio sawa kabisa. Ule mjadala wa kitaifa kuhusu suala hili uliofanyika Dodoma si ulikiwepo Sheikh? Iweje leo umfuate waziri mjadili? Bahati mbaya katika masuala ya kufanyiwa marekebisho hili halipo. Kwamba UMESIKILIZWA! Ukatili wa hali ya juu!
April is Autism awareness month. I was fully engaged with autism acceptance and inclusion campaigns, which ended with Run4Autism Half Marathon.
Autism is NOT a choice, Acceptance is.
#IchooseToBeInclusive
@TZMsemajiMkuu The photo speaks volume. Upendo wa mama unajidhihirisha wazi. Keep up the good spirit mama na Mungu akusimamie. Wengi wanatamani kukufikia km alivyokufikia mtoto huyu.
@humanrightstz Mkurugenzi, nashukuru kwa kuwa tayari kutujengea uwezo kupitia your mass comminication program. Hata wanaharakati tulio Dar tunatamani kupata semina. Kama mna ratiba kwa Dar naomba nijue ili tushiriki. Kama hamna basi tutume maombi.