Hawa ni Police nchini China Mjini Naqu jimbo la Xizang, Hii ni Baada ya kutokea foleni isiyo ya kawaida, Polisi walianza kugawa maziwa na mikate kwa Wananchi waliokwama kwenye Jam
Huwa najiuliza pengine Neno Polisi lina maana tofauti katika kila nchi!?
Thread 🧵
HISTORIA FUPI YA EMMANUEL NCHIMBI
Alizaliwa tarehe 24 Desemba 1971 mkoani Mbeya. Alisoma Shule ya Msingi Oysterbay jijini Dar es Salaam (1980–1986). Alisoma Shule ya Sekondari Uru (1987–1989), akamalizia Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Sangu mwaka 1990.
Thank you, Monaco 🇲🇨
To the President, the staff, my teammates and to you, the fans, thank you for your trust and your support from day one to the last.
It wasn’t the journey I had imagined, but this is where I found my way back onto the pitch, and for that I’ll always be grateful.
Monaco will always hold a special place.
Daghe Munegu ! ❤️
Wamekata pumzi kweli! Lissu atabaki shujaa wa Tanzania! Mibaba mizima haioni aibu!? Leo upande wa serikali wamefunga ushahidi - wanajua hawana kesi!
Mnaendeshwa na akili za Kizimkazi form four failures! Kweli?
Sasa acheni upumbavu and #FreeTunduLissu
Manchester United are deeply saddened by the loss of our former goalkeeper, Jimmy Rimmer.
Our thoughts are with Jimmy's loved ones at this difficult time.
Mpaka sasa hajatokea mhubiri wa kike mwenye upepo wa kumfikia mama lwakatare, R.I.P
Huyu hata wahubiri wakubwa tu wa kiume walikuwa wanamuogopa sana moto wake🙌🙌Mlima Wa Moto🔥🔥
Huyu mwandishi Khalifa said ni amempika sana Msingwa kwenye haya mahojiano mpaka kapanic kinoma , huyu Mwandishi ndio tunataka watu wahoji hivi by fact 😅😅😅👇👇