I went to Tanzania as a Kenyan and quickly discovered two things, X is restricted and Arusha is nothing like what I expected. From chips mayai and serious minji culture to 1,000 TSh stage fares here are a few things that caught me off guard.π§΅π°πͺπΉπΏ
VODACOM NI WEZI, Leo wananitumia sms Asante kwa kujiunga na chekecha mkwanja, nitakatwa 300/ - kwa siku, ina maana Hao TCRA ni washirika wao au? Mbona tunaingizwa kwenye Mambo ya Ajabuajabu na Wamenyamaza?
Katika kesi inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu, historia yake ya maisha, struggle yake, alikotoka na safari yake hadi alipofika si hadithi ya pembeni. Ni sehemu ya narrative ya utetezi inayolenga kuonesha character yake, misimamo yake, commitment yake kwa nchi na gharama kubwa alizolipa katika kusimamia demokrasia, haki na utawala wa sheria.
Hii si kesi ya kawaida. Ni kesi ambayo, ikiwa itamalizika kwa hukumu ya hatia, inaweza kuwa na adhabu ya kifo. Kwa mazingira hayo, kumtaka mshtakiwa aharakishe utetezi wake ni jambo linalopaswa kutazamwa kwa umakini mkubwa.
Hata kama utetezi wa Lissu utachukua mwaka mzima, huo si muda mrefu ukilinganisha na adhabu inayoweza kumpotezea mtu maisha yake milele.
Mahakama inapaswa kuwa na uvumilivu wa kutosha kuhakikisha kwamba kila jambo la msingi katika utetezi linasikilizwa. Ufanisi wa mahakama ni muhimu, lakini haki ni muhimu zaidi.
Kwa kesi yenye matokeo yasiyoweza kurekebishwa, hakuna muda unaoweza kuwa mrefu kuliko thamani ya maisha ya mtu.
Hakuna haraka inayopaswa kuwa kubwa kuliko haki.
Hivi kweli #Miaka30YaBongoFleva mwenetu @ankochoka anaonekana hana mchango kwenye hii tasnia yetu kumfanya asiwepo kwenye tag la wana?!!
Kwamba yule Dj Zero ana mchango kuliko CHOKA?! Au yule Dj Bike?!!!
Mnasubiri AFE ndio muende kutoa pole nyumbani na macameraβ¦π₯Ή
ili mabadiliko yatokee kwenye jamii, muda mwingi ni lazima mtu aumie. nchini tanzania, mageuzi mengi tunayonufaika nayo hivi sasa yalikuja yakiwa migongoni mwa watu waliokuwa wakivuja damu. lissu anaweza kuteseka sasa, lakini ni chachu ya mageuzi yanayokuja. muda uko upande wetu!
πππ πππππππππ ππ πππππππ πππ ππππ! β€οΈπ₯
Arsenal kick off the new season at the Emirates against Coventry City! ποΈβοΈ
Letβs ππππππ another Premier League title, starting with a win tomorrow! πͺπ΄
ππππ ππ πππ πππππππ! π₯