Kwa uelewa wangu, walimu wa Diploma walikuwa wanafundisha primary toka awali, angalau kwa mujibu wa sera tulizokuwa nazo.
Walikuwa wanaruhusiwa kufundisha Sekondari lakini mwisho kidato cha pili.
Kidato cha tatu na kuendelea ilikuwa lazima degree.
Hatuwezi kufunika UKATILI wa Viongozi waliopita kwa sababu hawa waliopo wanaendelea kufanya mambo mabaya zaidi. Tukifanya hivyo utakuwa ni udhaifu na dhambi kubwa sana. Hatuwezi kumkumbuka mtu kwa kujenga madaraja dhidi ya roho za watu zilizopotea kikatili wakati wa uhai wake bila majibu hadi leo. Hisia za msiba haziwezi kuwa na nguvu kuliko wema , haki , huruma na upendo. Tukipoteza kumbukumbu za ukatili wao tutakuwa tunaimarisha ukatili kwa kila
utawala na haswa vizizi vinavyokuja.
Mimi namkumbuka Magufuli katika sura hii ma sio hisia na kelele za ngojera.
ARUSHA: Mwananchi ametoa kauli hiyo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://t.co/eoTGGHc8LT
#JamiiForums#Governance#Democracy
TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA
✍️ Reply handle yako hapa
✍️ Like handle zilizowekwa na watu
✍️ Mtu aki like handle yako mfollow
✍️ Mtu akikufollow follow back
Kwa pamoja tutafika 10K,
🚨 OFFICIAL: Champions League quarter finals are set! 🏆✨
🇩🇪 Bayern 🆚 Real Madrid 🇪🇸
🇪🇸 Barcelona 🆚 Atlético 🇪🇸
🇵🇹 Sporting 🆚 Arsenal 🏴
🇫🇷 PSG vs Liverpool 🏴
Who’s going to Budapest? 👀
Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo ametoa kauli hiyo Machi 18, 2026 kwenye Ukumbi wa Centre House wakati wa Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Zaidi tembelea https://t.co/32o0U4q5b7
#JamiiForums#Demokrasia#Democracy